Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
Nimeandika kwa kumeza baadhi ya maneno soma alafu rudia tena na tenaUlichokiandika hakieleweki vizuri
Nimeandika kwa kumeza baadhi ya maneno soma alafu rudia tena na tenaUlichokiandika hakieleweki vizuri
[emoji3] [emoji4] thank you mama!Kwa quotes tu huna mpinzani baba [emoji119]
#FreeMaxenceMello#
The Bold's
Enzi za polisi kukamata MTU bila warrant eti Kisa hajareveal identity za users ni za kipekee Tanzania,wakasome ICT waielewa.wajue jf ni free generated users content na moderator hapaswi kutoa identity au data za MTU unless ni kwa manufaa na usalama wa nchi, mfano habari za ugaidi au kuipindua nchi.sasa polisi watuambie kuna MTU alietoa habari za namna hiyo ktk JF wanamtaka? Ni nani na ktk thread IPI? Watuambie kosa lake ni lipi? Mello anahusikaje otherwise kesi ukifika court inakufa kifo cha mende,
Na hili li-slavemaster tulilonalo sasa ni heri ya Mkaburu!Kuna kipindi dola ilianzisha kampeni ya polisi mupyaa,tukaambiwa kumefanyika marekebisho kedekede sijui imeishia wapi.Moja ya malalamiko ya wananchi nakumbuka ilikuwa ni polisi kubambikia kesi wasio na hatia na watu kusoteshwa lupango bila kushtakiwa na ikaahidiwa watajirekebisha lakini wapii.leo public figure anakamatwa,kupekuliwa na kuwekwa ndani siku mbili bila vyombo husika kumfikisha mahakamani wala kutoa taarifa yoyote kwa umma,alafu anatokea mtu from nowea anawaambia wananchi eti tanzania ni nchi inayoongozwa kwa demkrasia,haki na utawala wa sheria,halafu hadhira inapiga makofi na vigelegele...daah mambo mengine yanatia hasira nyie ila ndo hivyo tena unakuta lakufanya huna.
We have always been slaves,the only thing that changed was slavemasters.
Khee! kwa hiyo kupelekwa mahakamani au kupewa dhamana sio matakwa ya sheria tena ni ya mtu au watu fulani?
Kuanzia leo natangaza rasmi kuwa sitamuunga mkono Rais wa nchi hii.
#freemaxencemello#
Unafikiri nini kifanyike kulimaliza hili bila kuegemea upande wowote,NB tambua unaongozwa na dola siyo jf au server iliyopo marekani