Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,452
- 4,938
Kuna kitu kina aandaliwa usijali wakati ukifika utaelewaBunge limegomewa lisiwe laivu,
Vikao vya ccm hasa vya halmashauri kuu vimebanwa visikutane mpaka baada ya miezi 6
Kamati kuu ccm mpaka miezi mine
Je hii ni jitihada ya kutotaka kudhibitiwa na vyombo halali?
Ni jitihada za kutaka asihojiwe na chama,Bunge na sasa wananchi(kupitia mitandao)