Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

Kwani aliyemshikilia yupo JF? Mimi naona kila mtu aandike jina Lake Halisi halafu tufanye ku share Facebook na Instagram
Una akili kama za Jesca, kama aliemshikila hayupo JF kwa nini anahitaji habari na majina ya watu wa JF asiende kuuliza mmiliki wa FB kama nia yake ni kushikilia wenye mitandao bila kufuatilia hiyo mitandao?!
 
Unaona sasa...kabunifu wewe?
Nimeipenda

#FreeMaxenceMello#
#TheBold'sForMello#

Tuko nae pamoja [emoji123]
[HASHTAG]#nifahfor[/HASHTAG]jf #... kiba...[HASHTAG]#lowassa[/HASHTAG] [HASHTAG]#hahaha[/HASHTAG]
nina hasira hadi machozi yananitoka nahofia tu mtu apishane na mi lugha hapa kazini naona nitaondoka na barua ya kugukuzwa nnaomba mungu saa 11 ifike fasta nikanywe konyagi mitaani hasira zishuke
 
Watawala wakumbuke mateso kama haya yana mwisho. Yuko wapi Kanali Gaddafi? Yuko Saddam Hussein? yuko wapi Augusto Pinochet?

[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
Yuko wapi Idd Amin
 
Nasikia hasira na uchungu Tanzania Tanzania nchi yangu tunaelekea wapi [HASHTAG]#Free[/HASHTAG] Maxence Mello#
[HASHTAG]#Free[/HASHTAG] Maxence Mello#
 
Back
Top Bottom