Haka ndiko kabinti kangu...

Haka ndiko kabinti kangu...

Mie wangu nimejifanya nimezaliwa Vatican, namwambia my beautiful angel read the bible sijui vere gani? Akakutana na neno adultery, ghafla akaniuliza, Daddy, what is adultery? Nikamwambia keep reading I will explain later

Mbaya zaidi hivi karibuni walikua wanapiga story na mama yake akasema damu yake ni damu ya Dady sio ya Mom, sasa wife akataka kupima kama bado biology ipo, akamuuliza why the baby gets the blood from Dad? Nikainuka kwanza kama sifuatilii mazungumzo kumbe nasubiria jibu

Akaanza a baby is formed by exchange of saliva... How, akachuna kidogo huku anaona aibu akasema through kissing. Nikajua tu hapa tupo na mkubwa mwenzetu sema amechomekea tu.

Binti ana miaka nane ndio ikabidi nitoe semina elekezi kwa wife aanze kumpiga kipindi mambo ya ukubwa, asimchukulie tena kama mtoto.
 
Hivi binti wa miaka 9 anakua na matiti gani mpaka baba wa duka ashike kifuani, hii kamba nimeikataa bana labda matakoni huko ulikosema lakini kifuani UONGO

Watoto wanatofautiana maumbile mkuu.
Hapo hata kama anakashika vile vichwa vya nzi utajuaje kapten? Think global
 
Usimwache huyo mtu mzima h***o alyekosa adabu. Tena ashindwe kabisa. Binti miaka 9?? Kama sio laana ni nini? Jamani wakati mwingine inabidi kumwogopa Mungu!
kuna jamaa alikuwaga ananiambia eti Mh Mudi nae alichukuaga umri huo huo.
 
Na huenda hii nifaida kwa wazaz kuwa karb na watt watt weng wanaharibk na mzaz hujui kikubwa ukarb unaitajika na elim pia kwa watt
 
Najiuliza ingekuwa mtoto wa kiume wa miaka 9 kashikwa dushe na mama mtu mzima, mngetokwa na povu hili
 
Habari wana JF!!

Kama title inavyosema ni kabinti kangu yaani katoto kangu ka kike kenye umri wa miaka 9.5 sasa.

Majuzi nimekaa nako kwenye gari nikisubiri bidhaa nilizoagiza huku nataniana nae, kiukweli nampenda sana mwanangu ndiyo maana akawa rafiki yangu mkubwa!!!

Katika kucheza cheza pale akanitupia swali, namnukuu Hivi baba kwanini yule baba dukani kwa kina Robu hupenda kuniita ita kule uani kwao halafu anapenda kunishika shika matakoni na kifuani? Kwani ndo nini hivyo?

Kidogo nianguke kwa presure.....huyo baba mwenyewe ni mtu mzima sawa tu na mzazi wangu mimi!!! Na sikumjibu kitu ila nikamwambia nitakuelezea nyumbani tukifika, mama mtu akataka kumpiga but nikamwambia no!! Mwache

Nilijaribu kumdadisi kama kuna anachopewa na huyo mzee akajibu hajawahi kupewa kitu chochote zaidi ya pipi na gumz basi.

Natafuta namna ya kumjibu na kumwelekeza madhara yake na kuweka mtego wa kumnasa fataki!!

Mama hataki mtoto aelekezwe kwa sasa juu ya swala zima la mapenzi kisa bado mdogo sana!!! Wana JF mnadhani ni sahihi?

Nimeweka hapa pia kama tahadhari kwetu wana JF coz najua wengi wetu hapa ni wazazi na sikujua jambo kama hili lingeweza linitokee kwangu ila ndiyo hivyo limenifika!! So take care na watoto wetu jamani
Mtengeneze kisaikolojia mtoto wako kwa kumfanya kama rafiki yako sana kisha mwambie huyo mzee anania ya kumuharibia maisha sasa mwambie mtoto twende kituo cha polisi ili tukamsemehe. Ukifika polisi dawati la jinsia nenda kaombe ushauri na watashirikiana na wewe na mtoto kumuwekea mtego huyo mzee ili ushahidi uonekane bila ya kumuathiri ukuaji wa afya ya akili ya mtoto baada ya hapo sheria itafuata mkondo wake
 
Ohooo !!!

MLETA MADA KAMA UPO HAI , MTOTO WAKO SAHIVI ANA MIAKA ZAIDI YA 18 Tupe mrejesho bado hajabanduliwa au bado hajaolewa maanaaa!????

Kama aliwahi kuanza shule basi atakuwa chuo mwaka wa kwanza now ...!!!

Maana zama zimebadilika ,hadi watoto wanapenda mashine.....
 
Mtengeneze kisaikolojia mtoto wako kwa kumfanya kama rafiki yako sana kisha mwambie huyo mzee anania ya kumuharibia maisha sasa mwambie mtoto twende kituo cha polisi ili tukamsemehe. Ukifika polisi dawati la jinsia nenda kaombe ushauri na watashirikiana na wewe na mtoto kumuwekea mtego huyo mzee ili ushahidi uonekane bila ya kumuathiri ukuaji wa afya ya akili ya mtoto baada ya hapo sheria itafuata mkondo wake

Mkuu mbona mtoto mwenyewe saivi kashakuwa jimama
 
Mkuu mbona mtoto mwenyewe saivi kashakuwa jimama
Duuuh harafu sikusoma tarehe ya uzi kumbe toka May 5 mwaka 2011 hawa waliocomment hivi karibuni ndio wameuamsha uzi nikafikiri ni tukio la hivi karibuni 😂😂😂🏃🏃🏃🏃
 
Haya mambo sio ya kuchukulia poa.
Kuna dada mmoja tulikuwa tunabanduana zamani ila tukaachana kwa njia ya amani baada ya yeye kupata mume.

Sasa mwaka 2016 mtoto wake wa miaka kama sio 5 alikuwa anakuja kucheza nyumbani na tulizoeana sana na huyo mtoto.

Kuna siku yule mtoto akiwa kwetu akawa anajifunua hapa tumboni halafu ananambia, na mimi vimti vimeanza kuota hapa tumboni, sikumjibu. Siku nyingine akarudia tena, hapo nikaamua kumpigia X wangu ambaye ni mama yake na huyo mtoto tukutane sehemu fulani tuongee.

Nilimuuliza kama huwa wanamuonesha mtoto tupu zao! akajibu hapana hawajawahi yeye wala mumewe.
Nikamuuliza anadhani mtoto wake ameshawahi kuona mavuzi ya mtu mzima! akasema hapana.
Je, amewahi kusikia mtoto akiongelea mavuzi? akakataa yote.

Nikamwambia afanye uchunguzi kwa kumuuliza mtoto wake kwa mitego, inaonesha amewahi kuona.
Na kweli baada ya uchunguzi wao walibaini kuna bwana mmoja huwa anamnyonya uchi yule mtoto halafu anajishika uume na akadakwa kwa mtoto mwingine.
Ni kwa mujibu wa mtoto.
 
Duuuh harafu sikusoma tarehe ya uzi kumbe toka May 5 mwaka 2011 hawa waliocomment hivi karibuni ndio wameuamsha uzi nikafikiri ni tukio la hivi karibuni
Dogo wa jamaa saivi ana nyundo 21 kasoro nadhani.. Kawa m'mama na nadhani yupo chuo au demu wa mtu saivi.
 
Habari wana JF!!

Kama title inavyosema ni kabinti kangu yaani katoto kangu ka kike kenye umri wa miaka 9.5 sasa.

Majuzi nimekaa nako kwenye gari nikisubiri bidhaa nilizoagiza huku nataniana nae, kiukweli nampenda sana mwanangu ndiyo maana akawa rafiki yangu mkubwa!!!

Katika kucheza cheza pale akanitupia swali, namnukuu Hivi baba kwanini yule baba dukani kwa kina Robu hupenda kuniita ita kule uani kwao halafu anapenda kunishika shika matakoni na kifuani? Kwani ndo nini hivyo?

Kidogo nianguke kwa presure.....huyo baba mwenyewe ni mtu mzima sawa tu na mzazi wangu mimi!!! Na sikumjibu kitu ila nikamwambia nitakuelezea nyumbani tukifika, mama mtu akataka kumpiga but nikamwambia no!! Mwache

Nilijaribu kumdadisi kama kuna anachopewa na huyo mzee akajibu hajawahi kupewa kitu chochote zaidi ya pipi na gumz basi.

Natafuta namna ya kumjibu na kumwelekeza madhara yake na kuweka mtego wa kumnasa fataki!!

Mama hataki mtoto aelekezwe kwa sasa juu ya swala zima la mapenzi kisa bado mdogo sana!!! Wana JF mnadhani ni sahihi?

Nimeweka hapa pia kama tahadhari kwetu wana JF coz najua wengi wetu hapa ni wazazi na sikujua jambo kama hili lingeweza linitokee kwangu ila ndiyo hivyo limenifika!! So take care na watoto wetu jamani
Ingekua mimi sijui saiv ningekua pale Segerea natumikia kifungoni au sijui ndiyo nakaribia kutoka, kwa kumfanyia mtu tukio baya sana katika history ya maisha. Nachukia sana kuona mwanaume anafukuzia vitoto vidogo hivi ambavyo hata havijui kufua nguo za ndani.
 
Back
Top Bottom