Kweali unachangamsha jamvi,inamana huo ndo ushaur wako ?nilvyopata hasira nahisi ningejeruhi hata kuua bila kukusudia
Mshenzi sana huyo kenge,anatakiwa abakwe tu kisha anyofolewe nonihino kwa plaizi,ukizubaa utakuta kamharibu mtoto.
hiyo kazi,nakushauri kuwa makini,hamna haja ya kumnasa fataki,mzibiti kabint kako halafu make sure kanasahau yaliyotokea,halafu nyie waswahili mbona vitoto vyenu vinapenda sana kuzurura?
Dah! Pole sana,hongera kwa ukaribu ulio nao kwa mtoto mengi umeshaelezwa zingatia kuongea na binti yenu kumpa ABC za maisha,pia usimwekee huyo mzee mtego mweleze ukweli wote na umpe warning........
Hapo chachaEwe muthungu sio tunapenda wazurure!kwani wewe mbritish wafanyaje vitoto vyako avizururi?
Aisee!!! Hebu wachunge banaaaUpo mamito.......
Aisee umeona hawa watoto wetu wanavyowindwa na wanyang'anyi.
Kuna haja ya kuwaombea tangu wakiwa tumboni, na huko kwenye ulimwengu wa roho kabla hawajaja huku.
hiyo kazi,nakushauri kuwa makini,hamna haja ya kumnasa fataki,mzibiti kabint kako halafu make sure kanasahau yaliyotokea,halafu nyie waswahili mbona vitoto vyenu vinapenda sana kuzurura?
mkuu hilo fataki ni kuliwekea mtego...!! achapwe mbaya alafu ndio mtupe polisi...
Aisee!!! Hebu wachunge banaaa