Haka katabia haka...

Haka katabia haka...

Habari za mwisho wa mwezi? Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti. Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?
Sasa atajuaje kama unalalamika? Maana nimemsearch humu JF ili nikusaidie kumwambia bahati mbaya hajajiunga JF. Labda yupo facebook kwa watoto!
 
Sasa atajuaje kama unalalamika? Maana nimemsearch humu JF ili nikusaidie kumwambia bahati mbaya hajajiunga JF. Labda yupo facebook kwa watoto!

mfate hukohuko!!
 
Hahahahaha, mara nyingi kamsemi kao ni " una buku au jero ya karibu ntakurudishia baadae nkunchenchi yangu"Wapo wengi wa ivo.
 
asanteee ila umesahau kutaja rangi ya lipstik! nasagesti iwe nyeupe peee ili hata nikiwa kweny giza totoro utaziona lips so utajua msafishaji mwenzangu yule palee!

Ahahaha...utatufaa sana wewe! Kajina kako kagumu kweli...nahisi tunadike tu MAHONDAW inatosha!!!
 
una buku ya karibu....

kwi kwiiiii kwiiiiiiiiiiiiiii
 
Hahahahaha, mara nyingi kamsemi kao ni " una buku au jero ya karibu ntakurudishia baadae nkunchenchi yangu"Wapo wengi wa ivo.

sana kaka, au utasikia hebu n'tupie jero la fasta hapo KIONGOZI, halafu anamalizia kwa kukupamba na jina kuuuuuubwa ili ulainike eg mkuu, kiongozi, mkurugenzi, boss nk. Mjini hapa kuna mengi
 
Habari za mwisho wa mwezi?

Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti.

Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?

here is the plan.. kesho akija na elfu 10 yake akitaka buku, na wewe mwoneshe elfu 10
 
una 5000 hapo,enhe nipatie ,chukua hii 2000 kwanza ngoja nimpatie balance yake afu MANYOAAAAAAAAAAA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom