Haka katabia haka...

Haka katabia haka...

kam hutajali elimu yako umeishia wapi? maana sio issue kusema office mate!

hah haakindergaten 96 std seven 2003, olevo 2007, advance 2010, varsity 2013 masters probably 2 yrs to come! nikuulize wewe mi najua nipo sahihi ndomana kuna class mate, room mate, office mate n.k acha kukariri wewee.
 
Habari za mwisho wa mwezi?

Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti.

Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?

Dawa yake uwe unatembea na chenchi ya elfu 10. Akikuomba buku unampatia chenxhi yote. Wallah hatorudia!!!
 
mdau watu tunataka kukupa hekima. wakati utakapopata hiyo masters yako ya voda faster two years to come nitakuwa na miaka saba toka mimi nimeipata na miaka kumi ya exerience. basi kama una elimu hiyo kiasi then unauliza au kuomba ushauri mnyonge hivyo basi wewe ni janga lingine kwa taifa hili.
 
duh nmeipenda sana hii ngoja kesho sasa atanikoma niazime buku simjibu natoa michench tena micoin mingii
 
Habari za mwisho wa mwezi?

Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti.

Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?

Amesikia siku hizi umenunua dildo anataka ukamsaidie huduma!
 
kama kila soko na kichaa wake basi kwenye mitandao ya kijamii kuna vichaa pia na wewe ni wa JF
 
mdau watu tunataka kukupa hekima. wakati utakapopata hiyo masters yako ya voda faster two years to come nitakuwa na miaka saba toka mimi nimeipata na miaka kumi ya exerience. basi kama una elimu hiyo kiasi then unauliza au kuomba ushauri mnyonge hivyo basi wewe ni janga lingine kwa taifa hili.

ukilinganisha kijana na mzee automatic mzee atakua na experience zaidi. Taifa lenyewe tu janga.!
 
mdau watu tunataka kukupa hekima. wakati utakapopata hiyo masters yako ya voda faster two years to come nitakuwa na miaka saba toka mimi nimeipata na miaka kumi ya exerience. basi kama una elimu hiyo kiasi then unauliza au kuomba ushauri mnyonge hivyo basi wewe ni janga lingine kwa taifa hili.

ukilinganisha kijana na mzee automatic mzee atakua na experience zaidi. Taifa lenyewe tu janga.! umeshinda mwalimu
 
kuzoa na kwenda kutupa takataka naona hii itanifaa zaidi.

Basi andaa shati la pink, tai ya buluu mng'ao, sketi nyekundu/suruali na mkanda wa njano, na viatu vya kijani.

Ni PM majina tukuandalie kitambulisho kabisa!
 
Habari za mwisho wa mwezi?

Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti.

Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?

Mbona dawa yake ndogo,wewe jioni nenda dukani kwa mangi chukua chenji ya noti za elfu moja moja nane na za mia tano mia tano tatu then vicoin vya mia mia vitano.Akishafika tu kuomba chenji mwambie wewe upo full alete hiyo not ya book kumi uisambaratishe mchezo kwisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom