Haka katabia haka...

Haka katabia haka...

Habari za mwisho wa mwezi?

Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti.

Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?

tafuta chenchi ya hiyo elfu 10 akija siku nyingine kaishika mwambie lete nkupatie chenchi mi ninayo.
 
babueeee kama hujisikii kukomenti ziba domo lako. sijalazimisha mtu.
 
Dah umenikumbusha mbali sana kuna jamaa alikuwa mkienda kununua vitafunwa basi atakuuliza kaka una mia mbili ya fasta hapo nna buku tano hapa. Hiyo ndio ilikuwa ntolee.
 
Mawili,either uwe unamnyima au umwambie unavyokerwa na tabia yake,asipoiacha basi atakuwa haji kuomba kwako!!
 
Dah umenikumbusha mbali sana kuna jamaa alikuwa mkienda kununua vitafunwa basi atakuuliza kaka una mia mbili ya fasta hapo nna buku tano hapa. Hiyo ndio ilikuwa ntolee.

santeeeee!!
 
mchane live. then mwambie na jana nilikupa hukunirudishia ... una mfuga ataendelea hivo hivo kila siku. bora amind ila ukweli umefika au boss nn???

alichoniudhi zaidi le asubuhi nimemwazimisha sasa wakati wa kupatakifungua kinywa nikataka anipe hela yangu ninywe chai kaishia kujitetea tetea wee mpaka sahiv hajanipa nkamwambia basi anipe hiyo hela anayosema kubwa nitamrudishia chenji anajizungusha tuu kama kafulia si aseme nijuee ndhaa!!
 
Habari za mwisho wa mwezi?

Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti.

Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?

kam hutajali elimu yako umeishia wapi? maana sio issue kusema office mate!
 
mahondaw njoo ufanye kazi kwetu. Sisi huwa tunapenda kuuliza, "Una buku mbili aisee nikupe tano kuna mshikaji nataka kumlipa hapa nje!"

asee bora tu nije huko itakua nipe nikupe sio kila siku mi nakupaa tu!
 
Last edited by a moderator:
mi kila siku ningekuwa namwambia sina...alafu usisahau kwenda kudai hela zakooo
 
tuwekee picha yake hapa ili tukusaidie kumuliza na kukusaidi wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom