strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,312
Mwenye bandiko mwenyewe kawa mkali hakosoleki!!
Basi andaa shati la pink, tai ya buluu mng'ao, sketi nyekundu/suruali na mkanda wa njano, na viatu vya kijani.
Ni PM majina tukuandalie kitambulisho kabisa!
so umekuja kukosoa tu jamani???? haya bahah endendelea
kwa luga nyingine tunaita rangi mcharuko! mi nadhani kwakua ni dipatment ya uchafu tungevaa nyeusi tii!
Hii iko poa sanaKesho ww nenda na chenji ya buku 10 akija tu mwambie chukua chenji ya buku 10 hii utumie hela yako.
Habari za mwisho wa mwezi?
Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti.
Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?
hayo mambo acha tu mtoa mada
unakuta mtu hana tatizo lolote haumwi wala nini
anakukopa mwisho wa mwezi
yaan majaribu sio kutoka kwa bosi pia wafanyakazi wenzio muda mwingine hapo ukimnyima visa vinaanza which is not good kwa watu mnaokutana kila siku
mkopeshe kopeshe hivyo hivyo mpaka ifikie buku10, halafu akija tena anaipunga punga mpokonye kabsaaa!
Haa haa...nimecheka hadi basi...
Wakati tuko shule, kuna mwenzetu naye alikuwa anakuja kwenye kununua vitafunio na mihela mikubwa hivi hivi...yeye alikuwa anaomba tumnunulie kwa kuwa yeye ana 'mzinga'...tulivyostukia mchezo kila aliyeombwa akajikausha...