Kalamzuvendi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2009
- 639
- 739
Alafu wachapa kazi hao kuliko makabila yote
Dada yangu Farkhina katika suala la kuchapa kazi hawa Wachina, kwa Wajapan wanasubiri, tena wanasubiri wakiwa wamesimama mbali sana. Wajapan hatari kwenye suala la kupiga kazi.