Adam-Saffi
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 394
- 315
Manara ni kichaa, huyu jamaa hata shule hakwenda, sidhani hata madrasa alienda. Ana akili ya popo, sawa na ya PolepoleAkupe ukweli wewe kama nani?!!
Sie wenye Simba yetu tumetulia tunataka vikombe
Manara ni kichaa, huyu jamaa hata shule hakwenda, sidhani hata madrasa alienda. Ana akili ya popo, sawa na ya PolepoleAkupe ukweli wewe kama nani?!!
Sie wenye Simba yetu tumetulia tunataka vikombe
Duuh hicho ni kipigoKuna mtu kasema Azam wakitoa Bilion 41 kama zile za Yanga Smba inachukua bilioni 21 yeye anachukua bilioni 20 zake...lakini bado anabaki kuonekana yeye ndio mfadhili mkuu mwenye hsa za bilion 20 pale simba.
Angalizo siku mkikosa vikombe msije mkalana nyama hadharani!!?Akupe ukweli wewe kama nani?!!
Sie wenye Simba yetu tumetulia tunataka vikombe