Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Wakuu!
Hili la Haji Manara na mke wake wa zamani Rushaynah "kujifanya wamerudiana" linapaswa kuangaliwa kwa jicho la pili.
Ni kama sehemu ya mkakati wa kupotosha fikra za Watanzania na kuwatoa kwenye reli ya mjadala mzito unaoendelea kuhusu mustakabali wa Taifa letu, hususan sakata la viongozi wa juu wa CHADEMA – Mtaalamu wa Fedha na Uwekezaji, Leonard Magere, na Mkurugenzi wa Mawasiliano, Brenda Rupia ambao wote kwa pamoja wa Jeshi la Polisi limesema linawashikilia.
Wakati huo huo, Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, naye ametangaza kujiuzulu rasmi kwa barua aliyomwandikia Rais Samia.
Ni wazi kuwa kuna juhudi za makusudi za kuhamisha mjadala wa Kitaifa kutoka kwenye masuala ya msingi kwenda kwenye vitu vya hovyo.