Haji Manara kurejea Simba, na Ahmed Ally kupandishwa cheo

Je wajua kwamba ndiye mtu wa kwanza kabisa kuchambua mpira kwenye radio kwenye nchi hii ? Usiharibu brand za watu
Umezaliwa mwaka gani?Mtu wa kwanza kuchambua mpira Tanzania ni Haji?Wacha vichekesho
 
Nimezaliwa 1960 wewe?
Sasa unashindwa nini kujua kwamba Haji sio mtu wa kwanza kuchambua mpira Tanzania.Au umeingia mkenge na kuanza kufuatilia tambo zake akiwa Radio Uhuru kwamba yeye ndiye aliyeanzisha U pundit Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…