Haji Manara hafai kuwa msemaji wa Simba

IMG_20170922_162010.jpg

Mbao zenye thaman ya Bil 1.3 zinauzwa kwa shilingi mil 50 tu,zipo MWANZA.
 
Mi ni simba damu lakini sipendi huyu jamaa style yake ya usemaji,hafai kuwa msemaji wa club kubwa Kama simba labda Ndondo Cup,huyu jamaa mwaka Jana alituaminisha tunashinda kesi huko FIFA na yanga wataleta kombe kwa magoti msimbazi.

Kila saa kuandika pumba kwenye mitandao ya jamii,kuna mengi ya kuzungumzia katika soka na kuna vilabu kibao ligi kuu,kwa msemaji wa timu kubwa kila siku kuzungumzia kikuku ni upungufu wa akili,tunataka hoja za msingi,vitu vya maana siyo kujadili vikuku.

Jamaa anakwaza hadi nawaza kum-unfollow Instagram maana 90% ya post zake zinahusu Yanga na sio Simba,hatupati habari zinahusu club bali tunapata changamoto zinazoihusu Yanga.Japokuwa akituliwa ana uwezo mkubwa mno wa kujieleza na kuielezea club sasa sijui ni nini kinamfanya ajichetue.
 
Msemaji wa manchester ni nani? Tuachane na ujinga wa wasemaji, wasemaji waende kwenye makongamano, soka letu tuliboreshe zaidi uwanjani.
Nani kakwambia Manchester united haina msemaji Wa team ... Kama vitu hujui uliza ... Manchester INA mtu Wa mahusiano mitandaoni na ina mtu Wa PR kawaida,
 
Attachments

  • 1506092466775.png
    1506092466775.png
    27.8 KB · Views: 50
  • 1506092475032.png
    1506092475032.png
    35.8 KB · Views: 50
Tens nasikia sasa anajifanya kama kiongozi wa juu. Mechi ya Jana huko mwanza na mbao yeye ndio katuingiza chaka kumpangia timu omog. Kweli kabisa huyu hatufai yaani bora hata masau bwire.
 
Maswala yote technical anayaongea Jose Mourinho, hao wa mitandaoni ni ma typist, wanatype alichokisema manager wa timu
Nani kakwambia Manchester united haina msemaji Wa team ... Kama vitu hujui uliza ... Manchester INA mtu Wa mahusiano mitandaoni na ina mtu Wa PR kawaida,
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hawa wapiga debe tu hawana chochote ukiangalia hawako wabunifu kabisa.. ukiangalia msemaji wa sasa wa yanga yaani ndo creative tofauti na muro aliekua mpiga kelele tu alafu timu ziko nyuma ki habari dunia ya sasa inaitaji watu wabunifu sio wazaramo midomoni
 
Sio account ya kazi Ile ni yake binafsi kuna muda inabidi tuwe tunaacha kushtumu Kwa mambo ya mtu binafsi
 
Hata mimi huwa ananiudhi sana yeye kila kitu anachukulia mipasho tu. Ndiye anayesababisha timu ikwame kupata ushindi juu ya kelele zake.

Tusaidie mipasho yake ni ipi ?..

Ushindi wa Timu ya mpira unaletwaje na msemaji wa klabu ?..

Kelele ni nini ?..

Zipi ni kelele ktk taarifa zake ?.
 
Mi ni simba damu lakini sipendi huyu jamaa style yake ya usemaji,hafai kuwa msemaji wa club kubwa Kama simba labda Ndondo Cup,huyu jamaa mwaka Jana alituaminisha tunashinda kesi huko FIFA na yanga wataleta kombe kwa magoti msimbazi.

Kila saa kuandika pumba kwenye mitandao ya jamii,kuna mengi ya kuzungumzia katika soka na kuna vilabu kibao ligi kuu,kwa msemaji wa timu kubwa kila siku kuzungumzia kikuku ni upungufu wa akili,tunataka hoja za msingi,vitu vya maana siyo kujadili vikuku.

Ili ueleweke ni vema ungetuwekea majukumu ya Wasemaji wa klabu za mpira hususani Simba,ili tujue yamekiukwa vipi ...

Tuwekee na utaratibu au miongozo yao ,wanajisemea tu kutoka ktk Akili zao au wanatumwa na klabu zao ?..
 
Hata mimi huwa ananiudhi sana yeye kila kitu anachukulia mipasho tu. Ndiye anayesababisha timu ikwame kupata ushindi juu ya kelele zake.
Mipasho imezidi sana,ile nafasi inamfaa mtu mstaarabu
 
Pia manara ni msemaji wa chama..huwa anatoa hoja za kuprotect ccm...hivi mpira na sisa wapi na wapi..mimi nibsimba damu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom