Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,687
- 5,444
Hakika Manara ni mmoja tu simba mmepoteza mtu hapa, toka Bugatti amejunga na vinara wa ligi kuu tz bara yanga.
Amefanikiwa kuipaisha pakubwa clabu hiyo kwenye viwango vya caf, ikumbukwe kuwa, yanga ilikuwa ya 304 kwa ubora barani Africa kabla ya kujiunga nao.
Kutokana na maneno yake yenye bashasha na press za mara kwa mara kumeifanya club hiyo kongwe nchini kupanda nafasi nne zaidi na sasa ipo nafasi ya 300 kwa ubora barani Africa ngazi ya vilabu.
Hii ni hatua kubwa san kwa mabigwa hao wa kihistoria nchini, niuombe uongozi wa yanga kuongeza bajeti zaidi kwenye kitengo cha press ili kuipa mafanikio zaidi club hiyo.