Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,304
- 14,913
Yapi
Kwa kweli anaishushia hadhi klabu kubwa kama hii. Hana tofauti na yule wanayemwita Jerry Muro wa Yanga wakati ule.
Hivi timu zinawaokotaga wapi watu wa hivi?
Haji muhuni kwa sisi tunaemjua. kuna kipindi alikuwa anafadhiliwa na kulala kwa mbange hapa ilala bungoni. alichokifanya Mungu anajuaHakuna Mtu wa Simba SC hasa hao Viongozi uliowataja wakiongozwa na Salim "Try Again' Wala Nahodha wa Simba SC John Boko aliyekushauri kuwa usifanye ile Press Conference yako uliyoiahidi bali dhamira inakusuta na roho yako ya Kinafiki inakutesa...
Alifanyeje mkuuu.haji muhuni kwa sisi tunaemjua. kuna kipindi alikuwa anafadhiliwa na kulala kwa mbange hapa ilala bungoni. alichokifanya Mungu anajua
Ukishayajua yote itakusaidia nini labda?Alifanyeje mkuuu.
Kama hadi sasa mnaamini Manara anatupa siri na ndicho chanzo cha derby kuwa ngumu upande wenu basi kweli nyie ni "hopeless".
Thadeo Lwanga aliushindilia na kuuzamisha ndani kabisa ule mwiko kule nyuma ili usionekane tena asilani.Tadeo Lwanga anawasalimia
Thadeo Lwanga aliushindilia na kuuzamisha ndani kabisa ule mwiko kule nyuma ili usionekane tena asilani.
Kama hadi sasa mnaamini Manara anatupa siri na ndicho chanzo cha derby kuwa ngumu upande wenu basi kweli nyie ni "hopeless".