Haji Manara acha Kufanya Wana Simba SC wote ni 'hopeless' kama ulivyo

Kwa kweli anaishushia hadhi klabu kubwa kama hii. Hana tofauti na yule wanayemwita Jerry Muro wa Yanga wakati ule.

Hivi timu zinawaokotaga wapi watu wa hivi?

ikifika mda wa zile mechi za CAF utaelewa umuhimu wake? kama hatimkii kenya maaana wamemtafuta sana mda mrefu
 
Hivi Manara ndio anaingia uwanjani kucheza?Unaposema anaihujumu timu ndio maana mechi za Simba na Yanga zinakuwa ngumu,unakuwa na maana gani?

Nakuona kama mleta mada unaendeshwa na mihemko,chuki na wivu wa kike!
 
Hakuna Mtu wa Simba SC hasa hao Viongozi uliowataja wakiongozwa na Salim "Try Again' Wala Nahodha wa Simba SC John Boko aliyekushauri kuwa usifanye ile Press Conference yako uliyoiahidi bali dhamira inakusuta na roho yako ya Kinafiki inakutesa...
Haji muhuni kwa sisi tunaemjua. kuna kipindi alikuwa anafadhiliwa na kulala kwa mbange hapa ilala bungoni. alichokifanya Mungu anajua
 
Kama hadi sasa mnaamini Manara anatupa siri na ndicho chanzo cha derby kuwa ngumu upande wenu basi kweli nyie ni "hopeless".
 
Back
Top Bottom