Hajawahi kuniona, lakini ananitaka kimapenzi

Hajawahi kuniona, lakini ananitaka kimapenzi

majini siku hizi mengi pia...na yanajua wanaume wanapenda kugegeda vya kirahisi.....sasa wewe mchekee uone yatakayokutokea......
 
Kijana kuwa makini usije ukaliwa uwemba.
 
Jamani yani huyu mwanamke simuelewi kabisa, kwa sababu sijui namba yangu alipata wapi akanitongoza na hatujawahi kuonana lakini siku hizi ananilazimisha tuonane ili anipe penzi,hivi ni mtu mwema kweli.

Kutana nae sehemu public ambapo ww ni mwenyeji zaidi na utakuwa huru zaidi. Ukikubali goma na akaeleweka kwenye maelezo yako jinsi alivyokupata kwa simu,maliza mchezo.
 
Na pia inaezekana pia anakufahamu vizuri sana na ameshawahi kukuona mara kadhaa na akafanya kila mbinu mpaka kuipata namba yako.

Kwahiyo kuwa mguu nje mguu ndani usijiingize mzima mzima tafuta mbinu ya kuonana nae.

Anaweza kuwa na ni njema na inawezekana pia akawa tapeli
 
Jamani yani huyu mwanamke simuelewi kabisa, kwa sababu sijui namba yangu alipata wapi akanitongoza na hatujawahi kuonana lakini siku hizi ananilazimisha tuonane ili anipe penzi, hivi ni mtu mwema kweli.
Asije kuwa mkeo anakutega kwa namba usiyoijua. Nenda kapige tu
 
Back
Top Bottom