Pharergy;Yaliwahi nikuta mwenzio, ila Mola alininusuru kwa rehema zake tu. Ilikuwa mtego wa maadui zangu wa siku nyingi na miye si mchepukaji. Nikasema, nataka nione mwisho wa movii hii.
Basi si nkaenda kwenye spoti ile ya makubaliano. Nkakodoa mimacho weee, baadaye nkastuliwa na perfume ninayo ijua ikiwa karib na miye. Kumbe ni ma spai wamewekwa tayari kuchukua muvi.
Nikaacha gazeti na soda nzima pale mezani nkasepa.Sijamsikia tena yule nyangumi jike hadi leo. Nenda lakini kwa machale. Ka vipi mkaribishe home amsalimie mamsap