Hajawahi kuniona, lakini ananitaka kimapenzi

Hajawahi kuniona, lakini ananitaka kimapenzi

Kama uko mjini jichunge sana!!!

Wanawake wanatumiwa kama vyambo vya kunasia wanaume wenye nazo ili wakwanguliwe wallet..

Btw, ni rahisi sana kwa mwanamke kama huyo kukamatika!!

Jaribu kuweka appointment nae maeneo ambayo uwezekano wa kusingiziwa fumanizi haupo kabisa m.f mkutane benki hata kwa nje tu hapo pembeni ya mlinzi mzungumze mpaka myamalize!!!!!

Siku ya kumgegeda, wewe ndiyo uipange! Tena umwambie by surprise kubwa sana ili asipate muda wa kujipanga....

Akifika eneo la tukio tu, chukua simu yake ZIMA KABISA TOA NA BETRI!!!! THEN PIGA MASHINE KWA UHURU WAKO...

Mbinu zote hizo zikishindikana, nitafute sasa kwa msaada zaidi PM....
 
Ha! Ha! Ha! Wanataka wakunase wote ulo wagegedaga natabia yako ya kugegeda michepuko huku una mke.
 
Back
Top Bottom