Hajawahi kuniona, lakini ananitaka kimapenzi

Hajawahi kuniona, lakini ananitaka kimapenzi

pharergy

Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Jamani yani huyu mwanamke simuelewi kabisa, kwa sababu sijui namba yangu alipata wapi akanitongoza na hatujawahi kuonana lakini siku hizi ananilazimisha tuonane ili anipe penzi, hivi ni mtu mwema kweli.
 
pharergy

Huyo anakujua vizuri, na wewe unamjua vizuri tu, huenda kila siku mnaonana/ongea naye, ila kwa sasa kaamua kuficha utambuzi wake.
Anachotaka, siku ambayo utamjua, ndiyo siku hiyo hiyo mtagegedana kwa mara ya kwanza, anaogopa kujitokeza mapema kukwepa aibu endapo utamkataa.
 
Last edited by a moderator:
jaman yan huyu mwanamke simuelewi kabisa, kwa sababu sijui namba yangu alipata wapi akanitongoza na hatujawahi kuonana lakini siku hizi ananilazimisha tuonane ili anipe penzi!
hivi ni mtu mwema kweli?
Kwani huna Mke/Mpenzi kwa sasa? au ulimuliza wapi alitoa number yako? inawezekana ni mpenzi wako anakujaribu imani yako inawezekana kua anakupenda kweli,l hayo mapenzi yakutoambiana au kujuana sura hasa kwa wanawake yanaweza kukugharimu bila sababau ya msingi Achana nae,lakini na wewe mbona unaonekana kama ushaanza kukolea kiduchu kiduchu...
 
Nenda kafumaniwe maana GPL ndo kazi yao inayowaweka mjini
 
Kaamua tu kujificha nyuma ya kivuli cha kutojuana ila yeye atakua anakujua vizuri nenda kampe dudu ila kua makini wanawake wa dizaini hiyo ni mtaji mjini usije ukapukutishwa mtaji wako na picha juu front page.
 
Back
Top Bottom