Hajavuka tangu asubuhi

Hajavuka tangu asubuhi

Siku moja kuna mmasai alituacha hoi kwenye dala dala kule Kilwa road, pale Mivinjeni gari limeanza kuondoka mmasai kasimamisha kwa mbaali, konda anapiga makelele,"Posta unaenda Posta". Mmasai anakuja kimya kimya huku konda anaendelea kupiga makelele ya Posta, alivyofika kaweka mguu mlangoni, akauliza kama gari linaenda Kariakoo. Watu walikuwa na haraka zao lakini badala ya kuchukia ilibidi tucheke tu.
 
Back
Top Bottom