Hajafa tu?

Hajafa tu?

Status
Not open for further replies.
aaah! Kwa hela?! Nmekupenda kwenye ujumbe tu na si zaidi ya hapo hahahaaa

Baba mimi nimetulia nasubiri picha za eve na pia msiba niwah fasta na bendi ya kuomboleza
 
Kufa bana wengine tupate dili, we unadhani hii biashara yangu ya sanda na jeneza itatokaje?

Btw hebu njoo hapa kona ya Muhimbili uchague kabisa jeneza lako marehemu mtarajiwa...

Naomba useme beii kabisaa ntamlipiaaa jenezaa na sanda gharama yangu,hajui hapa dunian tushabananaa
 
Nionavyo mimi kiwango cha Elimu kimeshuka hasa ukizingatia sifa za walimu waliopo , miundo mbinu tuliyonayo na utekelezaji wa mipango tuipangayo kuhusu Elimu.

Kama vigezo vya kupanda kwa Elimu ni idadi ya wanaojiunga katika ngazi furani ya elimu basi Elimu ya Tanzania iko juu mno kulinganishana huko nyuma.

Angalia matokeo ya kidato cha nne kila mwaka tumekuwa na karibu asilimia 80 ya wanasemwa wamefaulu kuwa na daraja la nne.Daraja ambalo hata afanyeje labda ataenda ualimu kama ambavyo tumefanya miaka ya 90 na mwanzoni mwa mwaka 2000.

Madarasa yapo watoto hawasomi kwa kukosa walimu hiyo Elimu itapandaje, ili tendo la kujifunza liweze kufanyika ni lazima mwalimu awepo na mwanafunzi pamoja na mabo mengine kadha wa kadha wataalamu wa elimu wanaijua.

Tutaendelea siku nyingine.
 
Any way huyo gal tulivurugana kwa sinta kule unaona eeh akawa ananifuata hafi huku nilimnyamazia ikashindikana na mie binadam pia,,af lengo lngu kuja ndk hum sikiwa namtafuta yy bal yy ndiy aliyntafuta

Ahaaa kwa hyo yote uliyosema kuhusu Eve ni ya uongo
 
Any way huyo gal tulivurugana kwa sinta kule unaona eeh akawa ananifuata hafi huku nilimnyamazia ikashindikana na mie binadam pia,,af lengo lngu kuja ndk hum sikiwa namtafuta yy bal yy ndiy aliyntafuta

Sijawahi kuwa fan wa sintah hata sekunde wala blog yake siingiagi nilienda once niliitwa kushuhudia umbea
vijiwe vyangu ni jf, Instagram na rahatupu huko kwingine sijabarikiwa kufika
pole
 
Sijawahi kuwa fan wa sintah hata sekunde wala blog yake siingiagi nilienda once niliitwa kushuhudia umbea
vijiwe vyangu ni jf, Instagram na rahatupu huko kwingine sijabarikiwa kufika
pole

Hahahahahhaah ulisutwa ukakimbia hukurud tena ndo jana kuniona humu ukajua nnazo zile habar huhu any way potezea shoga
 
sijawahi kuwa fan wa sintah hata sekunde wala blog yake siingiagi nilienda once niliitwa kushuhudia umbea
vijiwe vyangu ni jf, instagram na rahatupu huko kwingine sijabarikiwa kufika
pole

si lazima ujibu kila kitu vingine piga chini potesea
 
Sasa stress zako ukataka kutustress na sie? Kuwa na hekima bwana, ukija hapa sema nna stress one two. Sio unaanza kutukana watu hapa. Na usiseme uongo, manake utakustress zaidi (id mbili ni uongo na uoga wa maisha)

hivi unadhani hata mimi nikifa jf nzima italia? Najua nina marafiki wachache watatoa mchozi, na wengine wachache watasikitika for five minutes na kusahau. Infact ukijiangalia watakaokulilia (kama bado hujawachosha na drama zako) ni nduguzo wa damu.

Nitalia mpaka basi, tena nakuja nimegonga viroba jogoo acha kabisa nikilia sinyamazi
nikigonga kiroba machozi debe.....
ndizi yangu kwenye pochi nakula mpunga huyooo narudi zangu uswazi
 
Hahahahahhaah ulisutwa ukakimbia hukurud tena ndo jana kuniona humu ukajua nnazo zile habar huhu any way potezea shoga

Ila ningekua mie ningejiuaa yaan jana hayupo hata aliekuembelelezaa usifee aisee una damu ya kungunii aiseee
 
Sijawahi kuwa fan wa sintah hata sekunde wala blog yake siingiagi nilienda once niliitwa kushuhudia umbea
vijiwe vyangu ni jf, Instagram na rahatupu huko kwingine sijabarikiwa kufika
pole

Kanifananishaa ni mimii aiseee ndio nipo kulee nilimchambaaa mpaka basiiiiii
 
Baba mimi nimetulia nasubiri picha za eve na pia msiba niwah fasta na bendi ya kuomboleza

hahahaaaaa! Huyu naye mgumu kufa kama nn bhana, mm tangu jana nilijua leo naenda kula msiban si unajua tena wazamiaji hatuchelewi? Halafu nilijipanga kuiona sura ya Evelyn Salt lakn naona kmya......
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaa! Huyu naye mgumu kufa kama nn bhana, mm tangu jana nilijua leo naenda kula msiban si unajua tena wazamiaji hatuchelewi? Halafu nilijipanga kuiona sura ya Evelyn Salt lakn naona kmya......

We naeee sura itakusaidia nini sasa mi nkajua unasubiri uone kalio na mguu wa bia
kama unataka sura tu ngoja nikutumie passport
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom