Hajafa tu?

Status
Not open for further replies.
Ngoja nikatafute big G na tawi la mchicha nijitundike.....haiwezekani..eti???

hahahaaaa! Umeanza kama mwenzako flan anayetaka kujiua? Shaur yako ww jitundike siye twaendelea kuufurahia uumbaji wa mungu
 
hahahaaaa! Umeanza kama mwenzako flan anayetaka kujiua? Shaur yako ww jitundike siye twaendelea kuufurahia uumbaji wa mungu

Utasubiria Sana nijitundike mchichani niluache shombe ww unatanua!!
 

Daah kweli alikamatika. Ila safi watu waongo waongo na wafitini hawafai humu duniani. Akome kuwa na maID mengi, uongo tu umemjaa.
 
heeeeee!!! kutoka ushemeji mpaka ubebeee tena !!! mbona kama kuna stage imerukwa?????:A S confused::A S confused::A S confused:

stege gan imerukwa?? Kwan wanaozma taa ni akina nani?? Come on babeee Nameless
 
Last edited by a moderator:
Anaogopa foleni atachelewa kufika.. Mu-sir mwenywe kampa go ahead na kamwambia hana BInduki lakini haelewi
huyu ana lake jambo.... labda shostiii ujaribu kumwendea kwa yule babu anayefanya kazi kwenye misitu ya congo labda atakuelewa!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…