Ulipenda nimpe jibu la kweli ama la uongo shem?
Nshaona maajabu kibaooo...moyo wangu mgumu kuliko chuma.
Hahahaaa, huwezi amini nimekupenda bure.
Sasa tuongee deal mwaya, ukitak kujiua tena unipe namba za huyo habibty ili ukifa nikutunzie.
Vaa miwani nyeusi....
vp kwan jibu ulilompa umeona la uwongo au la ukweli?? Usije ukamtoa roho mwenzio halafu baadae akute kitu cheusiii kama mkaa teh teh
nimeshaandaa mabounser
kama mguu wa mtoto unakutoa nduki iwe ndio sura ya boko shaur yako. Heri aminiye bila kuona
Ngoja nione respond yake ndo ntasema kama nilisema kweli ama uongo.... inaweza ikawa chance yako shemejiiii...vp kwan jibu ulilompa umeona la uwongo au la ukweli?? Usije ukamtoa roho mwenzio halafu baadae akute kitu cheusiii kama mkaa teh teh
Mi mpaka nione ndio niamini
Ngoja nione respond yake ndo ntasema kama nilisema kweli ama uongo.... inaweza ikawa chance yako shemejiiii...
shemeji kwani hutaki shombe mwenzako!!! TATIANA eti we si ulifata ushombe kidogo kwa babu hee?acha kurushia mpira kwa mwenzako wakt mm nmekupasia ww....... Hiyo chance itakuwa kwa @xshemeji sitaki kwingne
hahahaaaa! Angalia wenzio wanakimbia na pichu mkononi sasa sijui ww kama utakuwa mvumilivu kias hcho
Hapa ni Maji marefu wewe...utakimbia wewe na boxer yako
Hahahaaaaaa kivipi? mwenzio ni mbea by nature... nadumisha mila za kike...em niambie kilichokupata....Niliufuata halafu ukanitokea puani dear....
Ninayo prescription ya ukweli kwananaetaka kujiua,Umerudi katika normal sense eeenh?? Nisingepata faida ila usiseme vitu ambavyo huwez kuvitekeleza.... m glad umzima
Hahahaaaaaa kivipi? mwenzio ni mbea by nature... nadumisha mila za kike...em niambie kilichokupata....