So Evelyn Salt anakwida mpaka jero??
Weka basi picha ya eve tuone mbona unatuzingua bhana
Shoga hamna hata muwekaji picha hapa, na ninatoa muda hadi saa kumi na moja isipowekwa picha yoyote basi ntaweka yangu.
Kurushana roho tu....! Halafu Tayta yuko wapi jamani? kingekuwa kishaeleweka hapa.
Hahahaaa...nimecheka kweli..ili uonekane nawe matawi!!!!
Hehehehehe muone hivyo hivyo na mwandikowake wa kimalaika
hahahaaaaa huyo ni shombe originallllllll... nywele lainiiiii, mweupeeee na macho yake ya kijani hahahaaaaa....nameless girl eti Mgirik ni shombe????
Ulipenda nimpe jibu la kweli ama la uongo shem?muulize shemeji yangu nameless girl atakupa jibu
Acha tu afu nikiona kuna watu nasimama karibu na mlango wa gari najifanya naongea na simu
Kama vile ikikata ntafungua mlango watu wakiendelea na bizness zao mi ndukiiii naenda kudandia bodaboda
huyooo mbagala
unapenda kujua si ndio?? Ila uwe na moyo wengne tuna maajabu utakuja kuona vitu ambavyo havipo dunia ya kawaida
Acha tu afu nikiona kuna watu nasimama karibu na mlango wa gari najifanya naongea na simu
Kama vile ikikata ntafungua mlango watu wakiendelea na bizness zao mi ndukiiii naenda kudandia bodaboda
huyooo mbagala
hahahaaaaa huyo ni shombe originallllllll... nywele lainiiiii, mweupeeee na macho yake ya kijani hahahaaaaa....
hahaaa!!hali ya hewa ikichafuka mniite
nirushe bomu la machozi ,jana nilichelewa aisee!!
Uuh haufutwi usiogope
Kuna mtu kaniomba nisimdhalilishe naa vile namweshimu sana huyo mtu fanya kama hakijatokea kitu
huu ndo muda wa hali ya hewa kuwa nyekundu humu
Hahaaaa umetishaaaa ndo maana ulikuwa unamsarandia bwanaake shosti mwenye hela ili akununulie walau kibajaji?
huu ndo muda wa hali ya hewa kuwa nyekundu humu