HT
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,897
- 414
unakuta mwana teknolojia anaandika hivi, program yangu haikimbii, au modem yangu haifanyi kazi. Inaboa hata unaanzaje kumsaidia. Basi wandugu muwe mnaweka maelezo. Kifupi sema kitu gani hakifanyi nini, umefanya nini so far then omba msaada. Hii ittamsaidia anayetaka kukusaidia na kuweka wazi zaidi.
Mgonjwa akishindwa kujieleza tatizo kwa daktari, yeye ndiye ugonjwa wa kwanza....
Mgonjwa akishindwa kujieleza tatizo kwa daktari, yeye ndiye ugonjwa wa kwanza....