haiwaki, haifanyi kazi, hai run, hai...

HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
414
unakuta mwana teknolojia anaandika hivi, program yangu haikimbii, au modem yangu haifanyi kazi. Inaboa hata unaanzaje kumsaidia. Basi wandugu muwe mnaweka maelezo. Kifupi sema kitu gani hakifanyi nini, umefanya nini so far then omba msaada. Hii ittamsaidia anayetaka kukusaidia na kuweka wazi zaidi.
Mgonjwa akishindwa kujieleza tatizo kwa daktari, yeye ndiye ugonjwa wa kwanza....:)
 
Mkuu wala usiwe na hasira nao.. ni mambo tu ya kuiga bila kujua unaongea nini , na watu gani, mambo ya kijiweni mtu analeta huku na lugha yake ya mtaani huku anategemea kupata msaada... ishu ya namna hiyo unapotezea tu...
 
Ni kama wewe ulivyoandika taito yako basi hapo kila mtu atawaza au ni nanilihiii......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom