Jamaa yuko addicted na kuuza majengo ya serikali.
Dr Shika kununua majengo ya Ikulu na tausi wake.
Frustrations tu waziri wa mambo ya nje akiwa rais ni misele ya nje kila siku, ukichagua wa ujenzi ni kuvunja nyumba tuSidhani kama awamu ya sita watakaa Dodoma!
Naota kwa sauti .
Sijaona sababu za msingi za kukurupuka kwenda Dodoma, za kwangu kwanini mmekurupuka ziko hapa ndaniSidhani kama awamu ya sita watakaa Dodoma!
Naota kwa sauti .
Umeona mbali mkuu na si mbele.Sidhani kama awamu ya sita watakaa Dodoma!
Naota kwa sauti .
Umeona mbali mkuu na si mbele.
Mzee huo ni uchocheziSidhani kama awamu ya sita watakaa Dodoma!
Naota kwa sauti .
Naunga mkono hoja. Mayanga akikosa hiyo fursa, Basi Pepo mchafu wa kuvunjavunja majengo ataingia kaziniNinatabiri tu, Ikulu ikiuzwanunuzi atakuwa Mayanga constructions.
Wapingishwe chadema hapo !Wakuu hali zenu,
Najua mnajua kwamba tunakaribia kuhamia dodoma. Na baadhi ya vyanzo vya habari vinasema tukihama yale majengo ya serikali magogoni na mawizara tutayauza. Hili ndilo limenifanya niandike angalau kuweka mawazo yangu sawa.
Nashauri majengo ya Ikulu yabaki na tuyafanye makumbusho ambayo vizazi vyetu vitaendelea kujifunza historia endelevu ya taifa letu. Kwanza itaingiza kipato lakini pia itatoa fursa ya kulinda mandhari na heshima ya kitaifa. Nashukuru nimewahi kuishi uingereza na ufaransa kwa muda flan. wenzetu majengo kama haya huyahifadhi na kuyapa thamani zaidi. Tuweke uhai ndani ya majengo haya kwa kuonesha matukio gani au historia gani zilifanyika kwamfano rais gani alipenda kukaa na kufanya nini wapi? mikataba kadhaa ilisainiwa wapi au tukio gani lilifanyika wapi. ni muhimu, hatuhami nchi tunabadili makazi hakuna haja ya kuuza au kuvunja maana wapo ambao mawazo yao mafupi sana.
Msiweke mkuu wa mkoa mle kwani haya majengo hadhi na gharama zake ni kubwa sana. Mkuu wa mkoa aendelee kuishi anakoishi sasa. mnaweza kuweka ikawa ni ikulu ndogo ya raisi na ikatunzwa pia sio mbaya sana. Majengo ya wizara nakadhalika yakodishwe na sio kuuza. ukiuza unapata pesa once unatumia kujenga kolomije na zinaisha. ukiwekeza kwenye mambo mengine utaendelea kupata pango na umiliki wako utaendelea. tusiwe na mawazo ya kuharibu tu. tujifunze kwa wenzetu.
Nawasilisha kwa wenye akili walione,
Nangu mandokwa
Unayajua roho ya uharibifu? Ikikuvaa wewe ni kuvunja tu, Hata isipofanya vunja wewe vitavunjika vyenyewe. Hili Pepo linasingiziwa tu kuwa eti ni expansion jointhatuhami nchi tunabadili makazi hakuna haja ya kuuza au kuvunja maana wapo ambao mawazo yao mafupi sana.
Hapa umeeleweka vyema.Msiweke mkuu wa mkoa mle kwani haya majengo hadhi na gharama zake ni kubwa sana. Mkuu wa mkoa aendelee kuishi anakoishi sasa. mnaweza kuweka ikawa ni ikulu ndogo ya raisi na ikatunzwa pia sio mbaya sana. Majengo ya wizara nakadhalika yakodishwe na sio kuuza. ukiuza unapata pesa once unatumia kujenga kolomije na zinaisha. ukiwekeza kwenye mambo mengine utaendelea kupata pango na umiliki wako utaendelea. tusiwe na mawazo ya kuharibu tu. tujifunze kwa wenzetu.
Nawasilisha kwa wenye akili walione,
Nangu mandokwa