Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
daah kifo cha wengi ichi alafu miluzi mingi mnoo sijui nimwaminI nani sasa...!!?
Nenda kaombewe hiyo ni roho ya mauti. Shukuru Mungu haujafanya mtihani na kufaulu kwenye ndoto. Ukifanya na kufaulu ndio basi tena utakuwa umeondoka jumla.Salaam ndugu wanajukwaa natumai mu wazima. Tatizo langu ni moja tu, ni tatizo ambalo limekuwa likinisumbua tangu mwanzoni mwa mwaka labda pengine jukwaa hili la madokta naweza pata ufumbuzi.
Yaani pamoja na kuwa nimepata digrii ya halali bila kufoji vyeti miaka zaidi ya mitano iliyopita ila bado naandamwa na ndoto ambayo imekuwa ikinipa tabu sana, wakati mwingine naota kesho ndio pepa la necta halafu sijasoma kabisa, wakati mwingine ndio nimeanza pepa halafu hakuna nnachojua, wakati mwingine nimechelewa kuingia kwenye pepa, yaani pepa linakaribia kuisha mi ndo naingia.
Nikistuka najiskia vibaya sana kwa muda halafu fahamu zikiniijia nafurahi kwamba kumbe hiyo stage nilishavuka kitambo. Nini chanzo cha ndoto hizi, na kwanini zimeanza mwaka huu na zimekuwa zikijirudia rudia?
no ndoto mbaya Mara nyingi inatokeaga kwanzia mida ya 11 asuhuh pale mashine invyosimama hii yote kuashiria kuna pepo mchafu anakuingia nakumbuka kipind flan nilikuw kila nikiota ndoto Kama hii basi siku hiyo nilikuw napata homa sana au siku mipango yangu haiendiSalaam ndugu wanajukwaa natumai mu wazima. Tatizo langu ni moja tu, ni tatizo ambalo limekuwa likinisumbua tangu mwanzoni mwa mwaka labda pengine jukwaa hili la madokta naweza pata ufumbuzi.
Yaani pamoja na kuwa nimepata digrii ya halali bila kufoji vyeti miaka zaidi ya mitano iliyopita ila bado naandamwa na ndoto ambayo imekuwa ikinipa tabu sana, wakati mwingine naota kesho ndio pepa la necta halafu sijasoma kabisa, wakati mwingine ndio nimeanza pepa halafu hakuna nnachojua, wakati mwingine nimechelewa kuingia kwenye pepa, yaani pepa linakaribia kuisha mi ndo naingia.
Nikistuka najiskia vibaya sana kwa muda halafu fahamu zikiniijia nafurahi kwamba kumbe hiyo stage nilishavuka kitambo. Nini chanzo cha ndoto hizi, na kwanini zimeanza mwaka huu na zimekuwa zikijirudia rudia?
Bashite kila siku anaota ndoto kama hii.
EXAMINATION DREAMS
In examination dreams, which Freud
considered to be "typical dreams," the
dreamer sees himself back at school taking
an examination.
Freud mentions this type of dream several
times in The Interpretation of Dreams (1900a).
The dreamer is embarrassed to see himself as
an adult among much younger fellow
students and obliged to retake an
examination that he already passed a long
time ago. "It would seem, then, that anxious
examination dreams (which, as has been
confirmed over and over again, appear when
the dreamer has some responsible activity
ahead of him next day and is afraid there
may be a fiasco)" (1900a, p. 274). The
meaning of the dream would be: "Don't be
afraid of tomorrow! Just think how anxious
you were before your Matriculation, and yet
nothing happened to you"
Note. Ndoto hii huwajia watu walio pasi mtihani tu. Kamwe mtu aliyepiga f f f f haoti ndoto ya kurudia mtihani!
Huu Uzi WA mleta mada ni WA muhimu sana ,MTU anaweza ona ni utani Ila ni kweli ndoto hizi hata Mimi zinanitokea,pamoja na kuwa nimemaliza medicine bachelor...
[HASHTAG]#msaada[/HASHTAG] Tafadhali Ndugu.
Kunawakati nilikuwa naota naokota shilingi mia za safaru barabarani nipo na wenzangu wao hawazioni mm ndiye naepekenyua kwenye mchanga na kuokota nyingi mmno kila tunapokuwa tunapiga hatua tukitembea na haziishiiiii mchangani...
Salaam ndugu wanajukwaa natumai mu wazima. Tatizo langu ni moja tu, ni tatizo ambalo limekuwa likinisumbua tangu mwanzoni mwa mwaka labda pengine jukwaa hili la madokta naweza pata ufumbuzi.
Yaani pamoja na kuwa nimepata digrii ya halali bila kufoji vyeti miaka zaidi ya mitano iliyopita ila bado naandamwa na ndoto ambayo imekuwa ikinipa tabu sana, wakati mwingine naota kesho ndio pepa la necta halafu sijasoma kabisa, wakati mwingine ndio nimeanza pepa halafu hakuna nnachojua, wakati mwingine nimechelewa kuingia kwenye pepa, yaani pepa linakaribia kuisha mi ndo naingia.
Nikistuka najiskia vibaya sana kwa muda halafu fahamu zikiniijia nafurahi kwamba kumbe hiyo stage nilishavuka kitambo. Nini chanzo cha ndoto hizi, na kwanini zimeanza mwaka huu na zimekuwa zikijirudia rudia?
Na wewe unatakiwa kusaliwa kwa kufikiria kila sekunde, jina la mtu ambaye hayupo duniani.
Ndugu hilo swala hata mm linanitokea na nateseka sana sijui ni nnSalaam ndugu wanajukwaa natumai mu wazima. Tatizo langu ni moja tu, ni tatizo ambalo limekuwa likinisumbua tangu mwanzoni mwa mwaka labda pengine jukwaa hili la madokta naweza pata ufumbuzi.
Yaani pamoja na kuwa nimepata digrii ya halali bila kufoji vyeti miaka zaidi ya mitano iliyopita ila bado naandamwa na ndoto ambayo imekuwa ikinipa tabu sana, wakati mwingine naota kesho ndio pepa la necta halafu sijasoma kabisa, wakati mwingine ndio nimeanza pepa halafu hakuna nnachojua, wakati mwingine nimechelewa kuingia kwenye pepa, yaani pepa linakaribia kuisha mi ndo naingia.
Nikistuka najiskia vibaya sana kwa muda halafu fahamu zikiniijia nafurahi kwamba kumbe hiyo stage nilishavuka kitambo. Nini chanzo cha ndoto hizi, na kwanini zimeanza mwaka huu na zimekuwa zikijirudia rudia?
yaani hata mimi naota mara kibao mara nyingine naota tunapiga makelele halafu kinara naonekana mimi mara naota nafanya katukio darasan natetewa na mademu wa shule nzima mara nimechelewa paper roho inaniuma kinoma yaani haipiti week mbili bila kuota tukio kama hiliSalaam ndugu wanajukwaa natumai mu wazima. Tatizo langu ni moja tu, ni tatizo ambalo limekuwa likinisumbua tangu mwanzoni mwa mwaka labda pengine jukwaa hili la madokta naweza pata ufumbuzi.
Yaani pamoja na kuwa nimepata digrii ya halali bila kufoji vyeti miaka zaidi ya mitano iliyopita ila bado naandamwa na ndoto ambayo imekuwa ikinipa tabu sana, wakati mwingine naota kesho ndio pepa la necta halafu sijasoma kabisa, wakati mwingine ndio nimeanza pepa halafu hakuna nnachojua, wakati mwingine nimechelewa kuingia kwenye pepa, yaani pepa linakaribia kuisha mi ndo naingia.
Nikistuka najiskia vibaya sana kwa muda halafu fahamu zikiniijia nafurahi kwamba kumbe hiyo stage nilishavuka kitambo. Nini chanzo cha ndoto hizi, na kwanini zimeanza mwaka huu na zimekuwa zikijirudia rudia?
yawezekana tumerogwa mkuu tupo wengi hata mimiNdugu hilo swala hata mm linanitokea na nateseka sana sijui ni nn
Asante, kumbe kina Bashite wako wengiNdoto ni bayana, na hii ni taarifa kwamba kuanzia form4 kunamtu alichungulia hatima yako akaiona kuwa itakuwa nzur.. Ukafinyiwa ndumba na akachukua hiyo hatima anaitumia yeye au kamkabidhi mtu mwingine aitumie, kwahiyo wewe chochote utakachokifanya kinachohusiana na elimu utakuwa unamfaidisha yeye! kwa ujumla umerogwa yaani wamechukua nyota yako wanatumia wengine.. Ushauri wangu tafuta wachungaji wakuombee hili jambo huwa linaisha kwa jina la Yesu2 hakuna zaidi ya hapo. Lasivyo hii ndoto itatafuna hata maendeleo yako kimaisha.