Haipiti wiki naota napiga pepa la form 4

Wakuu hii issue na mimi nimo lakini mimi nilipasi vizuri sana O-Level lakini nilivyoingia A-Level hamu ya kusoma iliondoka kabisa na nilifanya vibaya mno kwenye A-Level.

Sasa hii ndoto ya kuwa narudia O- Level tu imenitokea sana lakini sikuwahi kuichukulia seriously kabisa , SASA HIVI ndo nimeanza kuona kuna haja ya kufikiri baada ya kukutana na hii thread, na mimi huwa sio mtu ninayeamini mambo ya ndoto kabisa! Lakini nimeota mara nyingi hii ndoto karibu kila mwezi mara moja kwa miaka sasa!

Wenye elimu kweli na haya mambo tusaidiane!
Ni pm nitakusaidia
 
Hii hali imenitokea na imekua ikijirudia zaidi ya mara 20
 
Kuna uwezekano wakat ulipokua unaanza elim yako uliomba na ulikua na ndoto sana ufike hatua flan au usomee kitu flan, lakin baadae ukaamua kuishia hapo ulipo, Hilo yaweza kuan n deni kwa mungu, km ulimuomba na yy akaahid kukufikisha lkn ww hukufika bas anakukumbusha agano lenu. Km n kweli bas hilo n Agano lako lzm ulitimze na yy amekuahdi lazma ufanikiwe ndo mana unatewa kweny ndoto.

Ndugu umesema kitu ambacho akili yangu imekubali kuamini hata kama ni kwa asilimia chache binafsi hiyo ndoto ya kurudia huwa ninayo sana na hakuna mtu aliweza kuamini ntafeli A-Level, na mpaka sasa namshukuru ALLAH ni mzima lakini kimaendeleo sio sana na nilikuwa nataka kusomea udaktari.
 
Hii hali imenitokea na imekua ikijirudia zaidi ya mara 20

Ndugu kuna mkuu hapo amesema kitu ambacho nafkiri kina ukweli inawezekana MUNGU anawasiliana na sisi labda kuna mission tulitakiwa tuziaccomplish halafu tukaacha tu labda kwa kukata tamaa au kivyovyote mi nilitaka kuwa daktari na sikuwahi kuamini (hata wanafunzi wenzangu, waalimu na wazazi hawakuwahi kuamini) kama nigefeli A-Level baada ya kupasi vizuri sana O- Level.
Lakini duh nliyofika A-LEVEL sikutaka kabisa kusoma interest ya kusoma ikaondoka kabisa nikafeli basi na dreams zangu zikafa na sijawa focused kabisa mpaka leo kwa asilimia kubwa.

NAMSHUKURU ALLAH kuwa ni mzima na sina shida kabisa lakini maendeleo pia ya kimaisha sina.
 
Kwa kiasi fulani naweza kuamini hili Mkuu.
yaani watu kwa jinsi wanavyonifahamu wengi inawapa shida kwanini kadovela mambo yake hayajakaa sawa japo tunajua uwezo wake. MUNGU tu ndio tumaini langu ila niko kwenye vita kubwa sana kiroho ambayo matokeo yake nayaona physically. aliyeniambia kuhusu kuibiwa nyota ya mafanikio alieleza kila angle ambazo ni bora ila zote zimezimwa japo yeye kabla alikuwa hata hajui uwezo wangu katika hayo mambo. MUNGU ananipa amani moyoni licha ya yote, bado nanawili kiafya kiasi cha baadhi ya watu kuhisi nina bonge la shavu ila nawaficha tu. ukiona hayo yote jipe imani kuu mtumainie MUNGU watu wa namna hii MUNGU anawaandaa kwa mambo makubwa ya kumpa MUNGU utukufu na sio wanadamu.
 
Allah amenijaalia,kielimu nna shahad 2,
Whay hi ndoto haikauk kwangu?
 
Allah amenijaalia,kielimu nna shahad 2,
Whay hi ndoto haikauk kwangu?
Maashaallah kwa elimu ALLAH Atuzidishie sote,

Kusema ukweli sifahamu ndugu,
Mimi huwa siamini kabisa habari za ndoto lakini kama inajirudiarudia sana zidisha SALA TU sana.

Halafu pia wenye elimu za ndoto wapo japo wachache wengi matapeli na hao wachache sio kila ndoto wanaweza tafsiri,

Kitu cha muhimu kama inaendelea kutokea na haikudhuru kitu basi chukulia kawaida tu.
 
Ni pm nitakusaidia
Kama ulielekezwa wazi na wengine bila kupelekwa PM
Wasaidie ktk wall kila mtu aone

Ulichofundishwa usifanye kuficha kama imekuwa nn

Huu uzi ukiandika ulicho elekezwa ungesaidia wengi.

Wengi wanapitia hii shida hivyo saidia hapa kila mtu asome sababu haina ubaya

Kuna vya kumuelekeza mtu PM, vingine ktk wall

Tumia ulichofundishwa kwa manufaa ya wengi, ukifanya hivyo unaficha hata hicho ulicho nacho Mungu atakupokonya.
Ni ushauri tu, fanyia kazi
 
Salaam ndugu wanajukwaa natumai mu wazima. Tatizo langu ni moja tu, ni tatizo ambalo limekuwa likinisumbua tangu mwanzoni mwa mwaka labda pengine jukwaa hili la madokta naweza pata ufumbuzi.

Yaani pamoja na kuwa nimepata digrii ya halali bila kufoji vyeti miaka zaidi ya mitano iliyopita ila bado naandamwa na ndoto ambayo imekuwa ikinipa tabu sana, wakati mwingine naota kesho ndio pepa la necta halafu sijasoma kabisa, wakati mwingine ndio nimeanza pepa halafu hakuna nnachojua, wakati mwingine nimechelewa kuingia kwenye pepa, yaani pepa linakaribia kuisha mi ndo naingia.

Nikistuka najiskia vibaya sana kwa muda halafu fahamu zikiniijia nafurahi kwamba kumbe hiyo stage nilishavuka kitambo. Nini chanzo cha ndoto hizi, na kwanini zimeanza mwaka huu na zimekuwa zikijirudia rudia?
Hiyo ndoto hata mimi huwa inanijia. Mtihani ni majaribu, hiyo ndoto sio nzuri, ndio mana unakuwa na hizuni.

Kama wewe ni mkristo, jitaidi kusoma kwa bidii biblia kwa kuielewa, tunashinda majaribu kwa kulielewa neno, omba na kufunga kwa bidii. Kifupi Mungu anahaja nawe, umekuwa mbali naye.

Usipo jianda jiandae kwa pigo litakalo kurudusha nyuma.
 
Katika ulimwengu wa kiroho ni ishara kuwa umekwama kimaisha. Unaweza ukaona kama mbona upo poa lakini inaashiria hata hapo ulipofikia unaweza kwenda mbele zaidi kimaisha. Hii ndio maana yake.

Sasa kwa nini urudie kuota mara kwa mara? Hii ina maana kwamba kuna maandalizi kabambe unatakiwa kufanya ili uvuke hapo ulipokwama. Ukishayapatia tu hayo maandalizi ndoto hutoweka. Ningekuwa nafahamu maisha yako halisi ningeweza kupata idea ya nini unachopaswa kufanya so far. Ukishamaliza kujiandaa vema na ku exploit vizuri hio outcome ya maandalizi yako then mambo yako yananyooka sawa na namna inavyopaswa kuwa.

Hii ni taarifa muhimu sana katika mwenendo mzima wa maisha yako. Unapaswa kumshukuru Mungu sana kwa taarifa hii nzuri inayokuonyesha nini cha kufanya.

Kwa nn ndoto ni ya f4 na sio drs7 na sio f6 na sio UE ilhali umepitia mitihani ya chuo? Jibu ni kwamba inaashiria daraja ama uwezo ama uzito wa maandalizi ya kufanyika. F4 ni four years hivyo maandalizi ni ya muda mrefu kidogo kulinganisha na f6 ambayo ni 2 years ama chuo ambayo probably ni 3 years to 4 to 5 years.

Tahadhari: Kuna ulimwengu wa kiroho na ulimwengu wa kimwili. Hii tafsiri ni ya ulimwengu wa kiroho. Kuna wengi hawataweza kuelewa hii tafsiri.
Mwanzoni mwa mwaka huu niliota sana napga pepa ya f4 geogrph nikawa nashindwa napata ugumu wakat wa mtihan. ila baada ya kama mwezi hivi nikaanza kuota nafanya pepa ya maths/engl vzr kwaiyo nilkua nikiamka nafurahi tu tofaut na ndoto za awali.kiuhalisia f4 nlipass vzr na ni muda kidogo.
 
yaani watu kwa jinsi wanavyonifahamu wengi inawapa shida kwanini kadovela mambo yake hayajakaa sawa japo tunajua uwezo wake. MUNGU tu ndio tumaini langu ila niko kwenye vita kubwa sana kiroho ambayo matokeo yake nayaona physically. aliyeniambia kuhusu kuibiwa nyota ya mafanikio alieleza kila angle ambazo ni bora ila zote zimezimwa japo yeye kabla alikuwa hata hajui uwezo wangu katika hayo mambo. MUNGU ananipa amani moyoni licha ya yote, bado nanawili kiafya kiasi cha baadhi ya watu kuhisi nina bonge la shavu ila nawaficha tu. ukiona hayo yote jipe imani kuu mtumainie MUNGU watu wa namna hii MUNGU anawaandaa kwa mambo makubwa ya kumpa MUNGU utukufu na sio wanadamu.
Nan aliyekuambia umeibiwa nyota mkuu nas tutafute ufumbuz mkuu
 
Wakuu hii issue na mimi nimo lakini mimi nilipasi vizuri sana O-Level lakini nilivyoingia A-Level hamu ya kusoma iliondoka kabisa na nilifanya vibaya mno kwenye A-Level.

Sasa hii ndoto ya kuwa narudia O- Level tu imenitokea sana lakini sikuwahi kuichukulia seriously kabisa , SASA HIVI ndo nimeanza kuona kuna haja ya kufikiri baada ya kukutana na hii thread, na mimi huwa sio mtu ninayeamini mambo ya ndoto kabisa! Lakini nimeota mara nyingi hii ndoto karibu kila mwezi mara moja kwa miaka sasa!

Wenye elimu kweli na haya mambo tusaidiane!
Ni pm nitakusaidia
Wakuu hii issue na mimi nimo lakini mimi nilipasi vizuri sana O-Level lakini nilivyoingia A-Level hamu ya kusoma iliondoka kabisa na nilifanya vibaya mno kwenye A-Level.

Sasa hii ndoto ya kuwa narudia O- Level tu imenitokea sana lakini sikuwahi kuichukulia seriously kabisa , SASA HIVI ndo nimeanza kuona kuna haja ya kufikiri baada ya kukutana na hii thread, na mimi huwa sio mtu ninayeamini mambo ya ndoto kabisa! Lakini nimeota mara nyingi hii ndoto karibu kila mwezi mara moja kwa miaka sasa!

Wenye elimu kweli na haya mambo tusaidiane!
Ni pm nitakusaidia
 
Kama ulielekezwa wazi na wengine bila kupelekwa PM
Wasaidie ktk wall kila mtu aone

Ulichofundishwa usifanye kuficha kama imekuwa nn

Huu uzi ukiandika ulicho elekezwa ungesaidia wengi.

Wengi wanapitia hii shida hivyo saidia hapa kila mtu asome sababu haina ubaya

Kuna vya kumuelekeza mtu PM, vingine ktk wall

Tumia ulichofundishwa kwa manufaa ya wengi, ukifanya hivyo unaficha hata hicho ulicho nacho Mungu atakupokonya.
Ni ushauri tu, fanyia kazi
Sikuwa na nia mbaya Dada angu,wala sina tabia hiyo ya ubinafsi
 
Wajibu ktk wall wote hao, sio wote wanao andika shida humu, wengine wanapata majibu kupitia maswali ya wengine sio kila mtu anaweza kuandika anapitia wapi, kuna vitu vingi vinafanana au maswal mengi yanafanana na majibu yako yanaweza kuwavusha, fanya kazi kabla hujaandika chochote omba ndio uandike, ili walio kusudiwa kuvuka lupitia hayo uyaandikayo wavuke
 
Mistari minne ya mwisho sijakuelewa
 
Back
Top Bottom