Haipendezi kukiita CCM chama cha magamba

Inapandeza CCM ikiitwa CHAMA CHA MAFISADI au Chama Cha Mafisii na si magamba. Upo hapo mshirika? Hivi CCM ni chama cha nini eti?
Waulize akina Rostam Lowassa na Chenge na baba yao Njaa Kaya Kikwekwe. Halo halo! Mtakufa kwa vijiba vya roho mkijikomba kwa mafisi wawabakizieni mifupa.
 
Magamba wenyewe wanawadharau sana wananchi: Refer mambo ya Gongolamboto, je, wamepewa fidia? Je, mauaji ya Nyamongo, Arusha na sasa Mwanza-Serikali inajali uhai wa wananchi wake? Je, kero za wananchi, eg umeme, zinashughulikiwa na serikali? Je, ni ahadi ngapi za JK ambazo alitekeleza mpaka sasa?
Magamba huwa "wanawajali" wananchi wakati wa uchaguzi tu kwa "kuwasaidia" chumvi, khanga, sukari t-shirt, nk! Hiyo ndio "shukrani" ya magamba!
 
Hii inatokana na ustaarabu wa wana CCM, nchi za wenzetu chama hiki CHADEMA kingekuwa kimeshakuwa blacklisted
 
Hii inatokana na ustaarabu wa wana CCM, nchi za wenzetu chama hiki CHADEMA kingekuwa kimeshakuwa blacklisted
Ustaarabu gani wa MAGAMBA wa kuiba rasilimali zetu na kuiuza nchi yetu kwa wageni huku tukiachiwa "urithi" wa mashimo? Hongereni CHADEMA kwa kuwapa jamba jamba Magamba mpaka hawapati usingizi!
 
ile ni kutokana na kuchoka kwingi co nyie hamna kuchoka wala nn ni kawaida yenu
Uisilamu kwakiswahili ni unyenyekevu mbele za mwenyezi mngu jee ufisadi mauwaji uongo nk niunyenyekevu alishapata pigo la mola hakuna cha uchovu wala binamu yake mapumnziko
 
JF imekuwa na members wengi wasioipenda CCM. Siku za karibuni zimeibuka kejeli mbaya dhidi ya chama hiki kinachoongoza dola na members wengi wa JF wametumbukia kwenye kejeli hii ambayo mimi naona sio uungwana.
Mbona wao CCM hawakebehi vyama vingine? I mean mbona wao hawaiti chadema majina ya kukebehi na ya mzaha?
Nashauri Mods walambishe BAN wote watakaokuwa wanakidhalilisha chama hiki badala yake tujadiliane kwa staha. Hata kama mimi nitajisahau nitakiita chama cha magamba na mimi nilambishwe BAN tu.
Naomba kutoa hoja
JK ambaye ni mwenyekiti wa chama cha magamba amenukuliwa mara kadhaa akisema vyama vya upinzani ni "vyama vya msimu". Hii sio kejeli? Lakin lipi baya zaidi-chama kuelemewa na ufisadi na kushindwa kuchukua hatua madhubuti au chama kuitwa 'chama cha magamba'?
 
Hii inatokana na ustaarabu wa wana CCM, nchi za wenzetu chama hiki CHADEMA kingekuwa kimeshakuwa blacklisted

mstaarabu anaiba?anadhulumu haki za watu?anadanganya wananchi?CCM ingekuwa nchi za wenzetu....wananchi wangeshasahau kama imewahi ku exist!Labda watoto wangekuwa wanafundishwa kwenye historia au civics!.........................
 
km CCM ni chama cha magamba basi na cdm ni chama cha degedege na malaria coz huwa wanatapatapa km mgonjwa wa degedege na huweuka km malaria imewapanda kichwan

Nasikia ulikuwa nao pale Mirembe Dodoma!
Itakuwa umetoroka wewe.............................naona bado una mawenge.
 
Chama cha Mapinduzi (CCM)=Chama cha Magamba ni sawa tu na kusema X= Ttozi Bweka. Ni a.k.a tu kiongozi jivunie magamba.
 
JF imekuwa na members wengi wasioipenda CCM. Siku za karibuni zimeibuka kejeli mbaya dhidi ya chama hiki kinachoongoza dola na members wengi wa JF wametumbukia kwenye kejeli hii ambayo mimi naona sio uungwana.
Mbona wao CCM hawakebehi vyama vingine? I mean mbona wao hawaiti chadema majina ya kukebehi na ya mzaha?
Nashauri Mods walambishe BAN wote watakaokuwa wanakidhalilisha chama hiki badala yake tujadiliane kwa staha. Hata kama mimi nitajisahau nitakiita chama cha magamba na mimi nilambishwe BAN tu.
Naomba kutoa hoja

Magamba wakiongozwa na nape tayari walishakikebehi CHADEMA, wanakiita CHANDIMU, kama ulikuwa haujui, basi hili lilikupita sema hili jina walilotoa halijajipatia umaarufu wa kutosha. Wengine humuhumu wanakiita Chama cha Demokrasia na Maandamano, sasa tatizo liko wapi hapa?
 
Back
Top Bottom