Sabry001
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,064
- 353
seems ur the GAMBA too! Km weng hawakipendi kina kasoro tena kubwa na wewe kichukie, hamasisha ukoo mzima ukichukie cuz its worthles to love and embrace that corpse partyJF imekuwa na members wengi wasioipenda CCM. Siku za karibuni zimeibuka kejeli mbaya dhidi ya chama hiki kinachoongoza dola na members wengi wa JF wametumbukia kwenye kejeli hii ambayo mimi naona sio uungwana.Mbona wao CCM hawakebehi vyama vingine? I mean mbona wao hawaiti chadema majina ya kukebehi na ya mzaha?Nashauri Mods walambishe BAN wote watakaokuwa wanakidhalilisha chama hiki badala yake tujadiliane kwa staha. Hata kama mimi nitajisahau nitakiita chama cha magamba na mimi nilambishwe BAN tu.Naomba kutoa hoja