Nahitaji kadi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
18,716
28,623
Habari zenu wapendwa najua mnaendelea na majukumu yenu kama kawaida ya kujenga nchi

Mimi huwa ni mwanachama wa vyama vyote lakin sasa nimeamua nichague chama kimoja wapo nacho nimeona ni ccm nimekipenda kulingana na watu waaliomo humo ccm ni watu wenye weled wa hali ya juu sana wasiogopa wala kuyumbishwa na mtu yeyote na ni wachapa kazi kweli kweli

Mfano wafuatao
John magufuri ni mchapa kazi kweli kweli
Kasimu majaliwa anajituma sana kwenye kazi zake na hamuomei mtu yeyote katika utendaji kazi .
Job ndugai huyu jamaa anaongoza bunge bila upendeleo yaan ni raha msitarehe kwa watu wote hata father mbowe anajua
Paul makonda hiki ni kichwa cha hatari kutoka ccm huyu kijana ni jasiri wa hatari kafanya mambo ambayo hakuna aliyefikia hii lekod
Sokoine huyu jamaa sasa yuko kuumeni kwa bwana alikua ni mtu wa watu mchapakaz alikua hatak uzembe kabisa katika kaz za nchi

Mwalimu nyerere huyu ndo baba wa taifa letu pendwa na ndo aliyetukamilishia uhuru wa nchi yetu kwa sasa ni mwenye heri

Lizabon yan huyu huwa ni kiboko ya watu wote wa hapa jf ni namba chafu kwa kupata habari za ndan na za uhakika kwa kweli huyu jamaa ni jembe


Naomba niishie hapo nisiwachoshe wasomaji wangu wapo wengi sana kama akina
Msukuma, gambo, siyantemi, lukuvi lakin hata hao wanatosha kwa leo
Kwahiyo nilikua nahitaji kadi ya chama cha ccm
 
Njoo pm nikurahisishie namna ya kupata kadi ya chama cha mapinduzi (chama tawala) hapo ulipo jirani.
 
tunajua una hasira na ccm unataka unyongee ganja, sio fair vumilia tyu
 
Back
Top Bottom