Hivi Messi kafanya nini kikubwa zaidi ya Muller, Roben au hata huyo James Rodriguez?
Kama kuibeba timu Di maria ndio alikuwa anaibeba timu.
FIFA wamezidi upendeleo!
Unasumbuliwa na chuki dhidi ya Messi, vigezo vilivyotumika kuchagua kwa asilimia kubwa anavyo yeye. Wewe endelea na chuki zako tu.
sema wewe ni vigezo gani vimetumika...hata iweje hawezi kufikia level za akina pele na maradona...eti mess ni zaidi ya maradona hahahha kombe la dunia hawezi kulishika mpaka mwisho wa uhai wake....best player for me is muller.
Kila team ilimkaba Messi na si chini ya mabeki 6!Mchezaji mwingine kama Muller, Kroos, Gotze, Robben, RVP, Suarez, na wengine ni wazuri na Talented, lakini so far bado siyo threat kubwa kwa timu pinzani! Swali lako ulitakiwa kwanza ujiulize kwa nini kila team pinzani makocha iliandaa mabeki mahsusi SIYO CHINI YA WATATU kumchunga Messi! Ukipata jibu la swali hilo basi utaelewa kwa nini Lionel Messi tena!
Mkuu unaleta habari za mpira wa mchangani hapaKila team ilimkaba Messi na si chini ya mabeki 6! Mchezaji mwingine kama Muller, Kroos, Gotze, Robben, RVP, Suarez, na wengine ni wazuri na Talented, lakini so far bado siyo threat kubwa kwa timu pinzani! Swali lako ulitakiwa kwanza ujiulize kwa nini kila team pinzani makocha iliandaa mabeki mahsusi SIYO CHINI YA WATATU kumchunga Messi! Ukipata jibu la swali hilo basi utaelewa kwa nini Lionel Messi tena!
nikusaidie tu, baadhi ya vigezo vilivyotumika, ni idadi ya magoli ya kufunga, na idadi ya pasi alizotoa kusaidia goli kufunguwa, idadi ya pasi sahihi alizotoa, n.k
Hivi vigezo umeviokota wapi mkuu
Overall performance ndio ina matter, jinsi gani uliibeba timu
Na ndio maana anaweza kuchaguliwa hata beki au kipa
Hivi Messi kafanya nini kikubwa zaidi ya Muller, Roben au hata huyo James Rodriguez?
Kama kuibeba timu Di maria ndio alikuwa anaibeba timu.
FIFA wamezidi upendeleo!
Hakika Fifa wana Mahaba na Mess duuu! Hii tunzo alistahili Roben kabisa! Huu ni ujinga kabisa!
Hivi Messi kafanya nini kikubwa zaidi ya Muller, Roben au hata huyo James Rodriguez?
Kama kuibeba timu Di maria ndio alikuwa anaibeba timu.
FIFA wamezidi upendeleo!
Ndiyo maana watu wanasema kuwa FIFA si chombo imara, wao wanachagua mchezaji kutokana na hisia kuwa Messi atafanya vizuri kombe lijalo la dunia hivyo tumchague yeye kuwa mchezaji bora. It;s a shame ila kwa kweli FIFA has to disband. Tujiulize: hivi kweli Messi aliwazidi kina Robben, Muller, Di Maria, Tim Howard, Rodriguez mpaka kuwa mchezaji bora?
Kabla hujatoa tamko kama hilo hadharani ongelea vigezo vilivyotumika na uonyeshe jinsi ambavyo aliyekuwa na vigezo hivyo kumshinda Messi alidhulumiwa. Kwa taarifa ni kuwa vigezo ni pamoja na kufunga magoli, kutoa pasi za mwisho kupata goli, kutokupoteza pasi na kucheza vizuri kwa ujumla. Na vigezo hivi vinatumika KILA MECHI ndio maana kila mechi kuna "man of the match". Sasa ndugu yangu, hao kina Robben, Muller, au Rodrigues walikuwa "man of the match" mara ngapi? Yeye Messi alikuwa man of the match mara 4 katika fainali hizo. Ni mchezaji yupi aliyemzidi Messi kuwa "man of the match"? Kama hakuna nadhani HAKUNA HOJA ya kuhoji ushindi wa Messi. Kwa wale wenye kumbukumbu wakati fainali kama hizi zilipofanyika Korea na Japan aliyeshinda uchezaji bora alikuwa GOLIKIPA Oliver Khan wa Germany. This was IN ADDITION to being the best goalkeeper. Hakufunga goli hata moja na nchi yake haikuchukua ubingwa waliochukua ubingwa walikuwa Brazil. Tena mbaya zaidi ile mechi ya finali Khan alifanya uzembe na kusababisha goli la kwanza lakini kwa vile overall alicheza vizuri katika mashindano bado tuzo yake aliipata. Hakupata Ronaldo de Lima wala Rivaldo ambao walikuwa na magoli mengi na nchi yao ikatwaa kombe. Wala hakuwa Ronaldinho ambaye wakati ule alikuwa star kwenye timu ya Brazil. Wengine wanadai CNN, BBC, etc wameponda tuzo ya Messi. Sio misimamo ya hizo TV station bali ni baadhi ya watu waliotoa maoni yao kwenye hizo Tv stations. Ni kama hapa JF , mtu hawezi kusema kuwa JF wameponda tuzo ya Messi kwa vile wewe umeiponda.
Kama ulisikia vizuri maneno haya: 'Fifa /Adidas Player of the tounament ............basi jibu liko hapo !
ni siasa za adidas ! Kidume
Blatter na maradona wenyewe wamesema hastaili..Mkuu una maanisha nini unaposema ame-underpeform? Kati yq mechi 5 za Argentina before final, messi kawa man of the match kwenye game 4. Hebu clarify definition yako ya performance.
Roben..Nani amefunga kwenye gemu ngumu anayestahili kupewa ? Tatizo ni ufinyu wa uelewa tu hapo.
Kweli wabongo ushabiki umetuzidi..maradona, lineker, blatter, nesta wamesema pia hastaili..mess hakupeeform compared na mullar, roben, james rodrogez, mascherano na hata shwainikaka sio lazima afunge angalia mchango wke ktk timu,umeangalia mechi za argntina kwel? Asingekuwa yy hyo timu isingefika hapo! Na sio yy 2 angalia hata uruguay ambapo suarez hakucheza na ambapo alicheza.
Frenkly speaking waliokuwa wana stahili hyo 2zo ni mess na robben bt ukiangalia rubn hakufika fainal.so ni sahihi kabisa kumpa mess