Hainaga digirii

Hainaga digirii

Status
Not open for further replies.

Da Sophy

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
388
Reaction score
162
Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile kwa mwenye digirii na asokuwa nayo.

Kama digirii zenu zingekuwa mali hao waume zenu wenye digirii tatu tatu wanafata nini kwa wanawake ngumbaru waso na digirii?

Nilishahudhuriaga mahafali ya digirii nikaona, zile digirii wanaveshwa kichwani tu, kwengine hakuna tafauti. Ndio mjue hivyo.
 
dasophy once again
 
Last edited by a moderator:
Digirii wanavishwa kichwani? How?

Ila wasokuwa nazo wanajituka ku bed
 
Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile kwa mwenye digirii na asokuwa nayo.

Kama digirii zenu zingekuwa mali hao waume zenu wenye digirii tatu tatu wanafata nini kwa wanawake ngumbaru waso na digirii?

Nilishahudhuriaga mahafali ya digirii nikaona, zile digirii wanaveshwa kichwani tu, kwengine hakuna tafauti. Ndio mjue hivyo.

Waambie mwaya wamezidi sana hao wanaojidai wamesoma.
 
.....heheh ati "ladha ya chumvi ni ile ile kwa alokuwa na digirii na asokuwa nayo!" 😄😄😄
 
Tatizo ni kwamba wanwake wasoi hujisikia sana eti kisa nimesoma basi mume wangu hawez kucheat,
Mara mume wangu hawezi kutembea na ngumbaru kama yule mtu hata kukaa meza ya wasomi hajawah atatoka aende nae wapi?

Mkasahau kwamba hao hao mangumbaru ndio wanaaongoza kutoka na waume zenu, manake kwanza muda wa kumgawaisha upo na mtu unajituma ile mbaya. Sasa mwanaume wafikiri ataacha kutoka na ngumbaru mimi ambaye akija tu nikiiskia honi mie nshawah mlangoni kumfungua gidamu za viatu.

Hajakaa sawa nshaleta benseni la maji ya uvuguvugu na sabuni hapo hapo sebulen kabla hata hajafika chumban namwosha miguu yake vizuri, naikausha kwa taulo safi.

sasa nyie mlio soma mume akivua soksi harufu ya miguu unaaza miguu yako inanuka.............mara sijui nenda kwanza kanawe miguu.......wafikiri ataniacha mie ngumbaru??
 
umevurugwa na mwenye degree ama ?

Swala sio kavurugwa ila huo ndio ukweli. Wanawake mliosoma mna maudhi sana nyie kila kitu mnakijua nyie, mume hana nafasi yake yaani nyie ndio mnataka msikike na mnaojua haki za wanawake na haki zenu kwenye ndoa.
Huwaga nawashangaa sana na kuwaonea huruma manake kumbe muda mwingine ndoa inahitaji mtu kuwa mnyenyekevu na mwenye mapenzi ya dhati.

Wee mumeo akivua kiatu kikinuka utaskia nenda kanawe miguu bwana inanuka wakati akienda kwa ngumbaru avuliwa viatu na kuoshwa miguu wafikiri kesho hata mkumbuka ngumbaru wake?

Kupika kwenyewe majanga ukiulizwa mara ya mwisho kupika msosi wa maana kwa mumeo utaskia sikumbuki, lakin akienda kwa ngumbaru wake kila siku anakutana na msosi uliopikwa na unaoliwa kwa staili tofauti, mara leo mkekani, mara leo mezani, mara leo sakafuni alimradi hazoei ama hakinai.

ukiulizwa mara ya mwisho kumpaka mumeo mafuta wala hata hukumbuki lakini kwa ngumbaru mie kila nikitoka kumkogesha nampaka mafuta, namkata akucha kwanini asining'ang'anie??

Kwataarifa yenu wanaume hata huko kubiduka sicho wanachokifwatia kwa ngumbaru ila wanafwata huduma za kimahaba, na kudekezwa, kupewa nafasi ya kupumzika kwa amani, kujaliwa na kauheshimiwa uanaume wao. Huku hakuna kumfokea ama kumwambia siwez huku kila anachokitaka anahudumiwa, utu wake kama mwanaume unathaminiwa, anaheshimiwa na bado dozi ya nguvu anapata isokuwa na mipaka
 
Digirii wanavishwa kichwani? How?

Hehehe.....Anamaanisha "degree cap"

1331671972_42.jpg
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom