Haikua lazima unipende Caren

Haikua lazima unipende Caren

Huu msemo wa "tafuta hela" unaniuzi (kwenye baadhi ya context) as if hela ni suluhisho la kila tatizo

Pole mtoa mada, lakini acha kulia tafuta demu/mchumba mwingine maisha yaendelee
Msemo wa vijana wa mjini hao ukiuchukulia serious utakufikisha mahala fulani, ingawa infidelity ni tabia ambayo haitibiki kwapesa!
 
Mwanaume unaanzaje kujutia mpenzi aliyesepa?
Kwani akina Caren wameisha?
 
Natamani ningekuweka darasani kukufunza mambo kadhaa juu ya hili.. mm nilikuwa mhanga mkubwa mpka ikafikia hatua maisha yangu yakawa matatani... kuna thread niliwahi kuiandika itafute
Ngoja niitafute bro
 
Wanawake wamekosa nini had uwachukie
HAPO SASA KISA CAREEN KAMLIZA...AJIKAZZE KULIZWA KAWAIDA ILA MWANAUME HUTAKIWI KULIA LIA HIVI ..UNATUANGUSHA..LIA KAUSHA KAMA HUJAWAI LIA..KINA CAREN WAKO WENGI MBONA UTAMPATA MWINGINE....SORRY HERUFI KUBWA NIMEONA NISHOUT KWA MBALI
 
HAPO SASA KISA CAREEN KAMLIZA...AJIKAZZE KULIZWA KAWAIDA ILA MWANAUME HUTAKIWI KULIA LIA HIVI ..UNATUANGUSHA..LIA KAUSHA KAMA HUJAWAI LIA..KINA CAREN WAKO WENGI MBONA UTAMPATA MWINGINE....SORRY HERUFI KUBWA NIMEONA NISHOUT KWA MBALI
Sjui kawamaliza wana wake wote
Duniani ? Akawaona wamejaa roho ya caren
Jmn bd kuna nafasi yakupenda tena na uka enjoy kuliko uko nyuma
 
Habari caren

Salamu zikufikie popote ulipo hata kama uzi huu utaupitia basi ujumbe ukufikie najua ni vigumu kuandika haya ila imebibidi kutokana na haya nnayopitia nmedhoofu kimwili na akili pia nahisi sintokua sawa tena.

Caren nmekuja kutambua kua kweli upendo /mapenzi hayalazimishwi kama yangekua yanalazimishwa basi kwa jitihada nlizo onesha kwako ningeweza kuibuka kidedea.

Caren ulijua huna hisia na mm ila.kwa nn ulinipotezea muda mpka kufika hatua ya kukutambulisha kwa ndugu na wazazi pia ??aibu oloniachia haitopotea milele na chozi langu litakusakama kama laana inayomtafuna mtoto Wa kiume aonapo utupu Wa mzazi wake Wa kike

caren ni juzi tu nlipokuja nyumban kwako nkakukuta na mwanaume mwingine kwa mikao mliyokaa ilikua haijanibariki kwa kweli nliohoji ukaniambia ni kaka yako lakini nikaja kubahini ni mchepuko wako kati ya wale 3 nliozifuma meseji zao kwenye cm yako

Caren umenifanya niwachukie wanawake wote dunian isipokua mama yangu nna andika haya kwa uchungu kwa nn hukiniambia mapema mpaka imefikia hatua ya mwisho ndo umeonesha makucha ?? Ila asante nmepata la kujifunza kupitia ww caren

Wanaume wenzangu tuishe na hawa viumbe kwa akili sana
Ila
Sintokusahau caren
Jamani Careen kwann umemtenda kaka angu lkn!?!?
 
Mwanaume kulia lia kisa dem ni umama..komaa na life awa wapo tu tena ni wengi kuliko sisi
 
Back
Top Bottom