Haikua lazima unipende Caren

Haikua lazima unipende Caren

Habari caren

Salamu zikufikie popote ulipo hata kama uzi huu utaupitia basi ujumbe ukufikie najua ni vigumu kuandika haya ila imebibidi kutokana na haya nnayopitia nmedhoofu kimwili na akili pia nahisi sintokua sawa tena.

Caren nmekuja kutambua kua kweli upendo /mapenzi hayalazimishwi kama yangekua yanalazimishwa basi kwa jitihada nlizo onesha kwako ningeweza kuibuka kidedea.

Caren ulijua huna hisia na mm ila.kwa nn ulinipotezea muda mpka kufika hatua ya kukutambulisha kwa ndugu na wazazi pia ??aibu oloniachia haitopotea milele na chozi langu litakusakama kama laana inayomtafuna mtoto Wa kiume aonapo utupu Wa mzazi wake Wa kike

caren ni juzi tu nlipokuja nyumban kwako nkakukuta na mwanaume mwingine kwa mikao mliyokaa ilikua haijanibariki kwa kweli nliohoji ukaniambia ni kaka yako lakini nikaja kubahini ni mchepuko wako kati ya wale 3 nliozifuma meseji zao kwenye cm yako

Caren umenifanya niwachukie wanawake wote dunian isipokua mama yangu nna andika haya kwa uchungu kwa nn hukiniambia mapema mpaka imefikia hatua ya mwisho ndo umeonesha makucha ?? Ila asante nmepata la kujifunza kupitia ww caren

Wanaume wenzangu tuishe na hawa viumbe kwa akili sana
Ila
Sintokusahau caren
Tafuta pesa jamaangu! Wanawake wapo tu
 
Mhmm mm pia mahusiano yangu yanapumulia pabaya,duh ndegu wangu anaelekea kupaa
 
Back
Top Bottom