chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,540
- 2,683
- Thread starter
- #101
Acha tu broCaren where are you mama? Kwann unamtesa huyu jamaa? Tafadhali rudi caren!
Acha tu broCaren where are you mama? Kwann unamtesa huyu jamaa? Tafadhali rudi caren!
Mwanaume halilii akiigongewa mkuu. Na wewe tafuta mnyonge umgongee
aya buaanaaa nizodoe tyuuuSawa mkuuMwanaume kulia lia kisa dem ni umama..komaa na life awa wapo tu tena ni wengi kuliko sisi![]()
Mna roho ngumu nyie viumbe duuJamani Careen kwann umemtenda kaka angu lkn!?!?
Mleta mada ninaswali naomba unijibu, Hivi ikitokea mtoto wakiume umeuona uchi wamama yake kwabahati mbaya tayari anakuwa nalana?
Asantee mkuu kwa kumfahamishaJapo mm sio mleta mada, ila nikupe tu taarifa kuwa..
Hata kufikiria hilo swala ni laana pia
Hapana ni haya haya yaliyokubuhu ila ndo hvyo sina jinsiHuyu jamaa anapambana na wanafunzi halafu anategemea awe peke yake! Tena wanafunzi wenyewe hawa wa mjini kati. Wakimalizaga chuo ndio akili inarudi. Wewe Kama ni mwanafunzi enjoy nyapu, utakuwa commited mbeleni huko.
hahaaDunia inawatu zaidi ya Bilion 7![]()
hahaa kwahiyo ajiandae kuanza course ya pili.. mpaka aumizwe sana akisha kuwa nunda ndio atayajua mapicha picha ya mahusianoPole sana mkuu,Hapo umemaliza first course.
Hapo ndo ameanza aisee,akomae tu.hahaa kwahiyo ajiandae kuanza course ya pili.. mpaka aumizwe sana akisha kuwa nunda ndio atayajua mapicha picha ya mahusiano
Pole pole pole sana bana kaka,usichukie wanawake kwa sababu ya msichana mmoja,kwa ufupi ni haikua fungu lakoCaren umenifanya niwachukie wanawake wote dunian isipokua mama yangu nna andika haya kwa uchungu kwa nn hukiniambia mapema mpaka imefikia hatua ya mwisho ndo umeonesha makucha ?? Ila asante nmepata la kujifunza kupitia ww caren
hahaa .. mpaka amemuanzishia careen uzi kweli alichotwa kiakili sana . mtoa na yeye no mmoja ya wale wadau wanaobabaika MA maneno matamu kama asali tunayoambianaga na wapenzi wetu vitandani .. yale maneno ukiambiwa unachpaswa kufanya nikuitikia tu nakuyaacha pale pale ..Hapo ndo ameanza aisee,akomae tu.
Na ajitahidi kutokuwa kujitundika tu.
So ulifikiri uko mwenyewe?Acha uzwazwa wewe?Wanawake utamu ndo uko hapo kwenye kula pamojaHabari caren
Salamu zikufikie popote ulipo hata kama uzi huu utaupitia basi ujumbe ukufikie najua ni vigumu kuandika haya ila imebibidi kutokana na haya nnayopitia nmedhoofu kimwili na akili pia nahisi sintokua sawa tena.
Caren nmekuja kutambua kua kweli upendo /mapenzi hayalazimishwi kama yangekua yanalazimishwa basi kwa jitihada nlizo onesha kwako ningeweza kuibuka kidedea.
Caren ulijua huna hisia na mm ila.kwa nn ulinipotezea muda mpka kufika hatua ya kukutambulisha kwa ndugu na wazazi pia ??aibu oloniachia haitopotea milele na chozi langu litakusakama kama laana inayomtafuna mtoto Wa kiume aonapo utupu Wa mzazi wake Wa kike
caren ni juzi tu nlipokuja nyumban kwako nkakukuta na mwanaume mwingine kwa mikao mliyokaa ilikua haijanibariki kwa kweli nliohoji ukaniambia ni kaka yako lakini nikaja kubahini ni mchepuko wako kati ya wale 3 nliozifuma meseji zao kwenye cm yako
Caren umenifanya niwachukie wanawake wote dunian isipokua mama yangu nna andika haya kwa uchungu kwa nn hukiniambia mapema mpaka imefikia hatua ya mwisho ndo umeonesha makucha ?? Ila asante nmepata la kujifunza kupitia ww caren
Wanaume wenzangu tuishe na hawa viumbe kwa akili sana
Ila
Sintokusahau caren
Habari caren

acha kulia kijana, pambana, tafuta hela za kutosha, Caren atajileta mwenyewe tu