Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,138
- 51,785
Hahaha nimekuelewa mwanaume mwenzangu. Naweza mkarabisha sasa kwenye club ya wanaume halisi. Akishapona atawaona wakawaida sana.. nilikuwa kama yeye.. ila baada ya bad breakup nawaburuza vibaya mno
Pole sana mkuu,Hapo umemaliza first course.