chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,540
- 2,683
- Thread starter
- #41
Karen ni fundi sana
Huwanikiboreka nakula good music
''lawama'' by karenKaren ni fundi sana
Huwanikiboreka nakula good music
''lawama'' by karenWapo ila huyu nlimpenda zaidiiHa Ha Ha Haaaaa
Kwanini Unakaa Na Mwanamke Mmoja Utadhan Amekuwa Mama Ako, Huo Ndo Upuuzi Uliofanya Bwana Mdogo, Hata Gari Huwa Inakuwa Na Spea Tairi.
Santeeduuuh! pole
Anywe sumu kwa mtu aliyekutana nae ukubwani si uzwazwaAngalia tu usije ukanywa sumu ukamuachia mama yako maumivu ya milele
Anywe sumu kwa mtu aliyekutana nae ukubwani si uzwazwa
Amshkuru Mungu tu kamuonyesha mapema huyo sio mwanamke aendelee na mengine, Mungu kaumba kusahau atamsahau tu
Kuna rafiki yangu anaitwa careen kagombana na boi wake ndo wewe nini? sema huyo careen anaishi Kijitonyama..

Hapana bro siwezi toa namba bila ridhaa ya mtuNaomba namba ya Caren mkuu...baada ya siku mbili tutakucheki
Mmmh mmh mmmh...Kuna rafiki yangu anaitwa careen kagombana na boi wake ndo wewe nini? sema huyo careen anaishi Kijitonyama..
Acha utoto.Habari caren
Salamu zikufikie popote ulipo hata kama uzi huu utaupitia basi ujumbe ukufikie najua ni vigumu kuandika haya ila imebibidi kutokana na haya nnayopitia nmedhoofu kimwili na akili pia nahisi sintokua sawa tena.
Caren nmekuja kutambua kua kweli upendo /mapenzi hayalazimishwi kama yangekua yanalazimishwa basi kwa jitihada nlizo onesha kwako ningeweza kuibuka kidedea.
Caren ulijua huna hisia na mm ila.kwa nn ulinipotezea muda mpka kufika hatua ya kukutambulisha kwa ndugu na wazazi pia ??aibu oloniachia haitopotea milele na chozi langu litakusakama kama laana inayomtafuna mtoto Wa kiume aonapo utupu Wa mzazi wake Wa kike
caren ni juzi tu nlipokuja nyumban kwako nkakukuta na mwanaume mwingine kwa mikao mliyokaa ilikua haijanibariki kwa kweli nliohoji ukaniambia ni kaka yako lakini nikaja kubahini ni mchepuko wako kati ya wale 3 nliozifuma meseji zao kwenye cm yako
Caren umenifanya niwachukie wanawake wote dunian isipokua mama yangu nna andika haya kwa uchungu kwa nn hukiniambia mapema mpaka imefikia hatua ya mwisho ndo umeonesha makucha ?? Ila asante nmepata la kujifunza kupitia ww caren
Wanaume wenzangu tuishe na hawa viumbe kwa akili sana
Ila
Sintokusahau caren
4 ila moyo wangu ulikua kwake basi tuHuyo alikuwa mpnz wako wangap kwenye maisha yako mkuu

Sijambo handsome shikamooHujambo mrembo?
CAREN MTOTO WA GADNER G. HABASH?Habari caren