Pole sana kaka, hawa viumbe huwa wana tabia ya kubadilika badilika kama kinyonga hivyo yatupasa kuishi nao kwa akiri.Usimpende sana mwanamke mpaka akajua kwamba bila yeye huwezi ishi.Wanawake wengi huwa hawajui nini hasa wanahitaji katika maisha na mahusiano kwa ujumla.Naamini hao wanaompa jeuri ni wakupita tu, naamini kuna siku atakutafuta tu mark my words brother.Najua unapitia wakati mgumu sana ila vumilia wewe ni mtoto wa kiume, kwasasa usihangaike kumtafuta kabisa ikiwezekana futa na mwasiliano yake nakila kitu ambacho kinamuhusu yeye ikiwemo picha zake.Kama alipangwa kuwa na wewe basi atarudi tu ila atakaporudi usimuamini tena kwa asilimia zote mana ameshakuvunja moyo.Ni bora kuhisi kwamba mpenzi wako anachepuka kuliko kushuhudia live.
Ila nakushauri tu kwamba next time ukiwa na mwanamke na kaanza kukusumbua tafuta mbadala wake kimyakimya ili ukiachana nae hupati sana maumivu na ndomana wanaume tunashauriwa kuwa na wanawake angalau wawili, najua wanawake wengi watapingana na hili ila huo ndio ukweli.
Nikutakie siku njema.