Haiba ya mwanakwe ni kuona aibu

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
_MG_8527.JPG
 
Anaogopaa angekuwa amevaa nguo za heshima asingeogopa hapo tatizo yupo nusu uchi na kuna watu wanamfahamu ndo mana kaamua kuficha uso.Hivi msichana kupendwa ni mpaka avae vinguo vya ajabu? akivaa gauni lake au suruali yake isiyombana au sketi ndefu ya heshima hatapendwa?dada zetu punguzeni kuiga.mavazi mara nyingi humwelezea mtu alivyo mtabaki kulalamika hamna bahati ya kuolewa.wanaume wameshtuka.mtabaki vyombo vya starehe then wanawatosa.
 
mmh!!! mwenyewe kakaa kwenye kigoda.......paja hihaa!! lakini makovu kwenye magoti!! duh!
 
Hivi huko Bongo kuna baridi nini? manake uzoefu unaonesha kuwa kama kuna baridi au mvua yanyesha basi hili jukwaa la mahusiano lapata wateja dunia nzima naona ni hizi tu ndo zatoka tangu saa tisa!
 
Kwa kweli dada ana ibu sana... Ama ni kwasababu ya kua nakula Kuku???
 
aibu feki kwani angekuwa ana aibu kiasi kidogo asingetoka home kwao hivyo
 
Kwa wanaume - hivi utakapofungua picha kama hii ukute ni mkeo/dada yako/Girl Friend wako, utareact vipi?

Kwa wadada - hivi ukijikuta ni wewe mwenyewe live utareact vipi?
 
Back
Top Bottom