Hai: DC Sabaya awataka Utumishi kueleza kwanini hawajapeleka majina ya Walimu waliostaafu Hazina

Kuwa wakweli kuna Maafisa Utumishi ni miungu watu. Big up Mkuu wa Wilaya kwa kutoa maelekezo hayo
 
Akisemea inakuwa ni Drama, asiposemea aah wanajali matumbo Yao hayupo wa kutusemea , hii nchi inahtaj kiongozi mwenye roho mbaya zaidi ili iende
Wanasiasa kuwaelewa na kuamini inahitaji utulivu sana. Kunakuunda tatzo na kulitatua. Tulia wewe mgeni wa hii nchi
 
Alizoea ku trend kwa kumtumia Mbowe.

Mbowe hayupo sasa hivi atawafuata hadi wachungaji kuwapiga mkwala
 
Huyo afisa utumishi anatoa wapi hizo fedha za kuwalipa wastaafu mfukoni mwake au.hivi kweli kufikiri kwetu ndo kunaishia Hapo?hata mtoto wa chekechea anajua hiyo ni hadaa.
Tumia akili za kichwa cha juu siyo tundu la chini
 
Nashangaa sana kuona baadhi ya watanzania wenzetu kwa itikadi zao za kisiasa basi inafikia hatua wanaombea majanga au mikwamo kwa serikali ili wapate ya kusema na kunyoosha vidole kwa kweli hali hii ni mbaya sana

Tupige magoti tusali ndugu zetu roho hiyo iwatokea.
 
Back
Top Bottom