Hahahhaha kuna ukweli hapa?

Ni kweli, unafanya nani hii wakati mawazo yapo kwa yule unayempenda
Hahah Fugwe asa kwa nini usiwe mkweli tu mapema kuliko kuendelea kufaidi vya MwanajamiiOne wakati moyo wako uko kwa Smile? Unamwacha MwanajamiiOne anajibinua na kujipindua, kutwa kucha anasakanya style kwenye internet, anahangaika na nyudi kwa ajili ya kujifukiza, anahudhuria vichen pati ili aku'shibishe' vema ufurahi hapo bado hajazamisha kichwa kwenye macookery books hukio.....mwe !
 
Last edited by a moderator:
.... MwanajamiiOne, "monkey styles" na mahanjumati ni sehemu ya mahaba, usiyabanie maujuzi bhanaaa 😉

All in all, mada yako taamu sana na atayeijibu kwa umakini, kidogo atakuwa kaiweka wazi sababu ya watu (wengi) wanapoachana, kulalama "umeniharibia maisha!"

Thamani ya penzi,........
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…