LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,498 Reaction score 3,390 Jan 20, 2012 #81 Malaria Sugu said: kwanini? Click to expand... Ina maana haujui? Ama unatuvunga tu? Haujui tuna hasara kwa ID kama ya kwakoo?
Malaria Sugu said: kwanini? Click to expand... Ina maana haujui? Ama unatuvunga tu? Haujui tuna hasara kwa ID kama ya kwakoo?
Adrian Stepp R I P Joined Jul 1, 2011 Posts 2,764 Reaction score 2,600 Jan 20, 2012 #82 Manyanza said: Huu ni upupu mtupu unaendelea halfu watu kama mwanzisha Thread ni mzigo humu JF, sielewi jamaa anacho andika, halfu dizaini huyu kichwani hazimtoshi bado ana ushamba fulani, mimi namnyaka vizuri sana hapa Zanzibar..... Shule Muhimi Mkuu Click to expand... Manyanza,usinambie ndo huyu kule fb anajiita rais wa vijana? huwaga nakupenda maana ukanichochea mbk nikala ban,ningekugongea 'like ila natumia simu!
Manyanza said: Huu ni upupu mtupu unaendelea halfu watu kama mwanzisha Thread ni mzigo humu JF, sielewi jamaa anacho andika, halfu dizaini huyu kichwani hazimtoshi bado ana ushamba fulani, mimi namnyaka vizuri sana hapa Zanzibar..... Shule Muhimi Mkuu Click to expand... Manyanza,usinambie ndo huyu kule fb anajiita rais wa vijana? huwaga nakupenda maana ukanichochea mbk nikala ban,ningekugongea 'like ila natumia simu!
V Vasco Dagama Member Joined Jan 18, 2012 Posts 52 Reaction score 10 Jan 20, 2012 #83 Hii thread imekaa kipashkuna fulani hivi
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,000 Jan 20, 2012 #84 MS anatafutia watu ban!!!
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,692 Reaction score 23,269 Jan 20, 2012 #85 Goodnt wakuu, mlale unono. Karijaonana maudu; Inshaallah