Hahahahahahaha Malaria Sugu!!

Umeamua kujianzishia thread kujiipa promo zaidi sio. Malaria sugu =dazipozi
 
Huu ni upupu mtupu unaendelea halfu watu kama mwanzisha Thread ni mzigo humu JF, sielewi jamaa anacho andika, halfu dizaini huyu kichwani hazimtoshi bado ana ushamba fulani, mimi namnyaka vizuri sana hapa Zanzibar... kaka umaarufu hauji kihivi jenga hoja na fanya mambo ya msingi utajenga heshima na jina lako humu ndani, naona umeamua kuandika Pumba ili uendelee kujibizana na watu na wewe uonekane thread yako imevuta Kurasa.....
Shule Muhimi Mkuu
 
me lov u,Mx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…