F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 29, 2014 #2 Maisha magumu tu mshana jr hivi ni nani asietaka kuvaa kitu kizuri? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 29, 2014 Thread starter #3 farkhina said: Maisha magumu tu mshana jr hivi ni nani asietaka kuvaa kitu kizuri? Click to expand... farkhina kuna watu wako hiyo hata akivaa wiki moja tuu ni sheedah Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
farkhina said: Maisha magumu tu mshana jr hivi ni nani asietaka kuvaa kitu kizuri? Click to expand... farkhina kuna watu wako hiyo hata akivaa wiki moja tuu ni sheedah
Mafikizolo JF-Expert Member Joined May 8, 2014 Posts 3,487 Reaction score 1,628 Aug 29, 2014 #4 Hahahahahaha Dah utazani sambusa
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 29, 2014 #5 mshana jr said: farkhina kuna watu wako hiyo hata akivaa wiki moja tuu ni sheedah Click to expand... Hahahaha hao watakua watembea sana kwa miguu au wanaparuza miguu wakitembea Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mshana jr said: farkhina kuna watu wako hiyo hata akivaa wiki moja tuu ni sheedah Click to expand... Hahahaha hao watakua watembea sana kwa miguu au wanaparuza miguu wakitembea
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 29, 2014 Thread starter #6 farkhina said: Hahahaha hao watakua watembea sana kwa miguu au wanaparuza miguu wakitembea Click to expand... Na usafiri wao kubwa ni no Tz 11
farkhina said: Hahahaha hao watakua watembea sana kwa miguu au wanaparuza miguu wakitembea Click to expand... Na usafiri wao kubwa ni no Tz 11
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Aug 29, 2014 #7 hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa,maisha haya yaone kwa jirani yako tu weeee
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 29, 2014 Thread starter #8 Wale wanaopenda kuazimana viatu ukimuazima huyo imekula kwako