Hahahaha kwa mtindo huu wanaume ndio walipaswa kuvaa magauni na skirt wanawake ndo wawe wavaa surual.
Akitaka kukuinua utafanyaje? Au utakaa chini kabisa..tehe
noma...hahahahChezea pembe la ng'ombe, halifichiki..
Ilinotokea hiyo mkuu tulikua na mwalim mmoja matata sana anavaa nguo za ajabu mno! sasa siku hiyo akafundisha halafu akaniinua kuniuliza swali na mimi siku hiyo sikua nimevaa tight pant..teh teh.. ilikua noma, niliinuka huku nimeinama nikamwambia teacher leo tumbo langu sio zuri, basi akaniambia nikae.... LOL...!!!Hapo lazima niumwe tumbo na kujikunja.
Kuna jamaa ilimtokea class af mbaya zaid teacher alimwona akamwambia nenda kafute ubao! Unajua nn alifanya ????
Ilinotokea hiyo mkuu tulikua na mwalim mmoja matata sana anavaa nguo za ajabu mno! sasa siku hiyo akafundisha halafu akaniinua kuniuliza swali na mimi siku hiyo sikua nimevaa tight pant..teh teh.. ilikua noma, niliinuka huku nimeinama nikamwambia teacher leo tumbo langu sio zuri, basi akaniambia nikae.... LOL...!!!
Ahaahaaa...! Mi ilitokea natoka zangu town naelekea magetoni! Kulikua na mvua na upepo hivi! Sikuloa! Ila ndani ya basi tulikuwa nyomi! Afu mbele yangu kulikua na mdada mzuriiii! Aagh! Mi nampa ubavu ananiambia nisimame vizuri! Duh! Nilitia mkono mfukoni na kum'binya tu! Si unajua surwali za vitambaa vyepesi! Afu boxer nilisahau! Chezea haraka haraka weweee!
mkono mfukoni ndo mango mzima, ila siku hizi hiyo haiwezi tokea, tight zinasaidia