M.E.M.A
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,373
- 472
- Thread starter
- #21
Its so embracing haswaa kwako bi dada! Mi namwambia nakuja in 5 minutes! Kama ataniona!
Hahahaha. Hapo hata atiririke na point gani we ushajua anataka nini. Na wengine ule mbanano wa kwenye daladala wanaupenda...mtu kituoni kwake kafika lakini hashuki.